Vladimir Putin amewataka wanajeshi wa Ukraine wajisalimishe wenyewe

Watu wajinga kama wewe ndio hufa bira kufanya uamuzi mgumu kwa masirahi ya nchi yako,
 
Walijisalimisha kweli au tuwape muda bado wanatafakari ?
 
Mdomo mali yake hata iddi amin alikua nao🤣🤣🤣🤣
 
Tatzo humu ndani watu wanamlaumu putin bila kujua sababu..
Afu nmegundua watz wengi hawajui vitu vingi wao kazi yao ni kusoma vichwa vya habar ya ulaya na us na kumlaum putin bila kujua hata chanzo ni nn...
Safi sana Putin.. wao si wahuni tuone sasa
Wewe unamlaumu nani kaka??
 
Kila siku tunaingia rasmi tunaingia rasmi!!!Putin yupo desparate!!!!Apigane sasa ateke kiev sio kila siku kuongea ongea
 
Kwa hiyo wewe unataka nato waendelee tu kujitanu hadi mpakani mwa Urusi ,na kumbuka kuna makubaliano yalishafanyika kwamba NATO kamwe wasiendelee kujitanua kuja mashariki,Kwa hiyo Putin na Urusi wanajua wanachokifanya kwa kulinda Usalama wa Urusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…