DAN LOKOMOTIVE
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 1,528
- 1,955
na ilikua mwanzoni mwa mwaka akasema operesheni ya kijeshi ya week mbil....Huyu nae ni mbwa koko tu ambae ana Low IQ ndo maana a naonekana ni DICTATOR
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na ilikua mwanzoni mwa mwaka akasema operesheni ya kijeshi ya week mbil....Huyu nae ni mbwa koko tu ambae ana Low IQ ndo maana a naonekana ni DICTATOR
DJ leta maneno!Mwamba mmoja anatishia dunia watu wametulia tuliii nawakubali San watu wa namna hii
Uko sawa kabisa; If You Can't Fight Them, Join Them.Waende nyumbani...[emoji28] [emoji28]
Hong Kong kwisha habari yake; Taiwan ndiyo kuna mbombo nkafu!!🤣🤣Hong Kong na Taiwan zijiandae , China anakuja huko soon .
alisema hata atayepeleka silaha au umesahau mkuuKwani umeona nchi inayoingiza majeshi yake moja kwa moja?
Watu wajinga kama wewe ndio hufa bira kufanya uamuzi mgumu kwa masirahi ya nchi yako,Putin sio mzima kichwani - kama alivyokuwa Hitler. Itadhihirika muda sio mrefu.
Katika karne ya 21 kiongozi wa taifa kubwa kama Urusi hawezi kufanya uamuzi wa kipumbavu kiasi hicho usiokuwa na manufaa yeyote kwa taifa lake.
He’s gone completely nuts. Bado ana medieval mind set ya akina Alexander the Great na Gengis Khan!
Walijisalimisha kweli au tuwape muda bado wanatafakari ?Russia imewataka wanajeshi wa Ukraine wajisalimishe au waweke silaha zao chini warudi nyumbani.
Huku hayo yakiendelea kumesikika milipuko sehemu mbalimbali nchini Ukraine huku wanajeshi wengi wa Urusi wakitokea kila upande kuizunguka Ukraine. Wengine wanatokea nchi jirani ya Belarus kuelekea miji mingine ya Ukraine.
Uwanja wa kijeshi wa ndege mji mkuu Kiev umeshambuliwa, pia watu 7 wamekufa na wengine wengi hawajulikani walipo.
Urusi imesema inalenga maeneo ya kijeshi nchini Ukraine kwa kutumia silaha za kulenga shabaha za hali ya juu.
View attachment 2129602View attachment 2129601View attachment 2129604View attachment 2129605
Endelea kuishi katika ulimwengu wa ndoto. After all, ignorance is bliss.Watu wajinga kama wewe ndio hufa bira kufanya uamuzi mgumu kwa masirahi ya nchi yako,
Mdomo mali yake hata iddi amin alikua nao🤣🤣🤣🤣Russia imewataka wanajeshi wa Ukraine wajisalimishe au waweke silaha zao chini warudi nyumbani.
Huku hayo yakiendelea kumesikika milipuko sehemu mbalimbali nchini Ukraine huku wanajeshi wengi wa Urusi wakitokea kila upande kuizunguka Ukraine. Wengine wanatokea nchi jirani ya Belarus kuelekea miji mingine ya Ukraine.
Uwanja wa kijeshi wa ndege mji mkuu Kiev umeshambuliwa, pia watu 7 wamekufa na wengine wengi hawajulikani walipo.
Urusi imesema inalenga maeneo ya kijeshi nchini Ukraine kwa kutumia silaha za kulenga shabaha za hali ya juu.
View attachment 2129602View attachment 2129601View attachment 2129604View attachment 2129605
Wewe unamlaumu nani kaka??Tatzo humu ndani watu wanamlaumu putin bila kujua sababu..
Afu nmegundua watz wengi hawajui vitu vingi wao kazi yao ni kusoma vichwa vya habar ya ulaya na us na kumlaum putin bila kujua hata chanzo ni nn...
Safi sana Putin.. wao si wahuni tuone sasa
Kaka hong kong tena????Upo serious kweli???Hong Kong na Taiwan zijiandae , China anakuja huko soon .
Kila siku tunaingia rasmi tunaingia rasmi!!!Putin yupo desparate!!!!Apigane sasa ateke kiev sio kila siku kuongea ongeaRussia imewataka wanajeshi wa Ukraine wajisalimishe au waweke silaha zao chini warudi nyumbani.
Huku hayo yakiendelea kumesikika milipuko sehemu mbalimbali nchini Ukraine huku wanajeshi wengi wa Urusi wakitokea kila upande kuizunguka Ukraine. Wengine wanatokea nchi jirani ya Belarus kuelekea miji mingine ya Ukraine.
Uwanja wa kijeshi wa ndege mji mkuu Kiev umeshambuliwa, pia watu 7 wamekufa na wengine wengi hawajulikani walipo.
Urusi imesema inalenga maeneo ya kijeshi nchini Ukraine kwa kutumia silaha za kulenga shabaha za hali ya juu.
View attachment 2129602View attachment 2129601View attachment 2129604View attachment 2129605
Kwa hiyo wewe unataka nato waendelee tu kujitanu hadi mpakani mwa Urusi ,na kumbuka kuna makubaliano yalishafanyika kwamba NATO kamwe wasiendelee kujitanua kuja mashariki,Kwa hiyo Putin na Urusi wanajua wanachokifanya kwa kulinda Usalama wa UrusiPutin sio mzima kichwani - kama alivyokuwa Hitler. Itadhihirika muda sio mrefu.
Katika karne ya 21 kiongozi wa taifa kubwa kama Urusi hawezi kufanya uamuzi wa kipumbavu kiasi hicho usiokuwa na manufaa yeyote kwa taifa lake.
He’s gone completely nuts. Bado ana medieval mind set ya akina Alexander the Great na Gengis Khan!
Nenda shule kwanza ukajifunze kuandika.Watu wajinga kama wewe ndio hufa bira kufanya uamuzi mgumu kwa masirahi ya nchi yako,
Bwege tu anaua wafungwa kwa kuwapeleke Frontline vitanina ilikua mwanzoni mwa mwaka akasema operesheni ya kijeshi ya week mbil....