Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
NATO wakamtoe UKRAINE [emoji16][emoji16][emoji16]Huyo Putin hata halali amejawa na hofu tele, kila siku ni nyuklia tu utafikiri yeye tu ndiye mwenye hiyo nyuklia na wengine hata hawaongei maanake wanafahamu ni kihoro ndicho kinamsumbua.
Sent using Jamii Forums mobile app