Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengine wenu ni wapumbavu wakubwa na inaonekana hamjui hata historia kwa nini, katika hayo mapambano yanayotokea Marekani kwa sasa fujo ilikuwa lazima zitokee. Ukiona hivyo ni kwamba yapo madai ya msingi yameshindwa kushughulikiwa kupitia maandamano ya amani na hivyo fujo kuwa njia pekee ya kuukumbusha na kuutahadharisha utawala ulio kiziwi.Rais wa Jamuhuri ya Urusi Bwana Vladimir Putin amekosoa vikali maandamano yanayoendelea nchini Marekani ya kupinga ubaguzi na kusema yale sio maandamano bali ni fujo.
Putin anasema zile ni fujo zilizojificha kwenye mgongo wa maandamano ya kudai haki za usawa na ubaguzi wa rangi.
Binafsi naungana na Putin, yale sio maandamano. Ni fujo.
Hongera kwa welevu!Wengine wenu ni wapumbavu wakubwa na inaonekana hamjui hata historia kwa nini, katika hayo mapambano yanayotokea Marekani kwa sasa fujo ilikuwa lazima zitokee. Ukiona hivyo ni kwamba yapo madai ya msingi yameshindwa kushughulikiwa kupitia maandamano ya amani na hivyo fujo kuwa njia pekee ya kuukumbusha na kuutahadharisha utawala ulio kiziwi.
Huko Urusi hata maandamano ya amani huitwa fujo ili kuwezesha nguvu kubwa kutumika kuyavunja na hali kama hiyo ikitokea Urusi maelfu kwa maelfu ya waandamanaji huuawa. Putin anatawala kwa mkono wa chuma kama hili jiwe la kwetu linavyofanya na kwa kuwa anajua Warusi wengi wanafuatilia maandamano hayo kwa umakini mkubwa, hali hiyo inamtia hofu sana.
Akiona jinsi wanajeshi wa Marekani wasivyokuwa tayari kupambana na raia wenzao wanaodai haki, kama alivyotaka kulazimisha fashisti uchwara Trump, anaingiwa hofu kubwa. Angependa sana kuona Trump naye akitumia vyombo vya dola kuzima maandamano hayo kwa nguvu hata ikibidi raia wengi kupoteza maisha lakini hiyo haiwezekani katika nchi ya kidemokrasia kama Marekani.
Maandamano yakifanikiwa na hivyo kuwezesha mabadiliko kufanyika, mataifa ya kidikteta kama Urusi inabidi kukaa chonjo kwani hali hiyo inaweza kuwa chachu kwa watu wake kuzinduka na kuingia mitaani kudai haki. Mpaka sasa maandamano nchini Marekani yanaonesha taswira ya mabadiliko ambayo lazima yatokee Trump apende asipende na ole wake raia wapoteze maisha.
Washamba na limbukeni, hongereni sana...jitihada zako si haba.Hongera kwa welevu!!!
Unadhani marekano anapenda saaana demokradi na sanduku ls kura? Henu angalia iraq,libya na kwingineko je umoja wa mataifa si ulikataa na wengine kutumia veto..lakini akavamia na sasa heli ya juzi kuliko leo na walio wachochea wenyewe wanaishi uswis na familua zao.
Kuna uhuru wa kusikilizwa kabla ya kuhukumiwa...osama bin laden si walisema walimuua bila hata kumpeleka mahakamani..
Mapenzi ya bure yalishakwisha duniani..maslahi ndo mtindo wa maisha.
Ukiona anakupenda ujue ana kitu anachotaka kwako hawezi kukughatamikia buree yaani hana faida huyo si mzungu
Duu...nimerekebisha bosi...asante...siwezi kukataa kuwa mm ni mshamba na limbukeniWashamba na limbukeni, hongereni sana...jitihada zako si haba.