Vladimir Vetrov, jasusi aliyejitakia kifo chake mwenyewe

Nimepata habari moja kuwa hawa mabolizi wa nchi mbali mbali moja ya kazi zao ni huo ujasusi ya nchi waliopo na nchi zao .
Si wote na mabalozi ngumu kuwapa hiyo kazi, labda sanasana sikuhizi balozi anakuwa aidha anataarifiwa kuwa kuna operation fulani inafanyika na majasusi wa nchi yake hivyo kama watahitaji msaada basi awasaidie!, lakini hizi ni zile operation ndogondogo, operation nyeti hata balozi hahusishwi na vilevile unakuta wasaidizi wa balozi ndio majasusi!.

Ngumu kumfanya balozi kuwa jasusi maana ni visible sana!, labda kutumika tu kwa hapa na pale ktk kufanikisha jambo fulani!.
 
Mkuu inamana huyo jamaa Vetrov kuiba zile info hakutosheka akaona aende kumuua yule afisa wa rank ya juu ya KGB au kumuua jamaa nayo ilikua ni Mission ya France?
 
Mkuu inamana huyo jamaa Vetrov kuiba zile info hakutosheka akaona aende kumuua yule afisa wa rank ya juu ya KGB au kumuua jamaa nayo ilikua ni Mission ya France?
Soma vizuri hapo ,, ni kama jamaa alikuwa anajishtukia sana. Akajikuta anaua . Na hii inatokana na aina ya maisha aliyokuwa akiyaishi.Double life
 
Ngoja nitarudi baadae inshaalah,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…