Vladimir Vetrov, jasusi aliyejitakia kifo chake mwenyewe

Vladimir Vetrov, jasusi aliyejitakia kifo chake mwenyewe

Tupe mkanda mkuu, ilikuwaje?
1000410446.jpg
 
Russia life lao la kidikteta liliwakost sana enzi za vita baridi, agent wao akigusa tu ulaya anawehuka kwa bata refu na uhuru wa kule.

Sijui kwanini hawakufocus na maisha bora ya raia wao, wao ilikua kuoneshana ubabe na west tu.
 
Naomba uni tag kwenye ule Uzi wa Jasusi wa KGB alietimukia wingereza nyumba yake inalindwa kama ikulu
 
Ahaaa asee siwezi kukwambia wapo au hawapo ila unaelewa asili ya mwanadamu ni mwanadamu tu ova!🤣🤣
Hurka ya mwanadamu ni kupanda ngazi watu wa hivi wapo nakumbuka kuna jamaa yangu tukiwa first year Aliitwa kwenda huko vitengo vya wananchi since that day atukuwahi kuwasiliana tena in 2014 I hope is serve better and highest better
 
Back
Top Bottom