Vladmir Putin mbona haonekani kwenye majukwaa ya Kimataifa?

Vladmir Putin mbona haonekani kwenye majukwaa ya Kimataifa?

ward41

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2022
Posts
749
Reaction score
2,533
images (87).jpeg

Tatizo Nini?
 
Atapitia anga gani kwenda kwenye hayo majukwaa ya kimataifa? Labda ajumuike kwa zoom. Mtu mwenyewe haamini mtu yeyote hata majenerali wake( insiders). Sembuse kupasua anga kwenye international air space.
 
Kwea pia utamkuta anagonga zake vitu vikali pale ikulu
 
Back
Top Bottom