Yoyo Zhou
Senior Member
- Jun 16, 2020
- 126
- 215
Takwimu rasmi zilizotolewa hivi karibuni zinaonesha kuwa watu milioni 90.41 nchini China wamefanyiwa vipimo vya nucleic acid vya virusi vya Corona, jambo ambalo limefuatiliwa na jamii ya kimataifa.
Je, China inafanya vipi vipimo hivyo? Kwa mfano wa mji mkuu Beijing, tunaangalia kwa undani. Wikiendi iliyopita, eneo la makazi analoishi Yo liliwafanyia wakazi vipimo vya nucleic acid ili kuangalia kama wana virusi vya Corona au hawana. Je, majibu ya vipimo vya Yo yakoje?