Benard Membe hana uwoga na anajiamini, ana haki kabisa kabisa kabisa ya kugombea Urais ndani ya CCM. Analindwa na Katiba na si utamaduni au huo utaratibu wako.Mabeberu na membe bwana!! Kwani mpaka ccm tu? Utaratibu wa ccm sianaujua?
Membe urais nihabari ya zilipendwa!
5yrs magufuri
15 yrs kabudi
Menbe atakuwa kishachoka.
Benard Membe hana uwoga na anajiamini, ana haki kabisa kabisa kabisa ya kugombea Urais ndani ya CCM. Analindwa na Katiba na si utamaduni au huo utaratibu wako.
Benard Membe hana uwoga na anajiamini, ana haki kabisa kabisa kabisa ya kugombea Urais ndani ya CCM. Analindwa na Katiba na si utamaduni au huo utaratibu wako.Hivi CCM siku hiz inabadili gia angani kwa kutoa fomu kwa wagombea wasiokuwa wanachama wake. Hivi CCM kweli imekosa wagombea wenye sifa hadi itoe fomu kwa mgombea asiyekuwa mwanachama
Tatizo fomu imechapishwa moja tu, Mwenyekiti asiwe muoga namna hiyo. Kila siku mnamuimbia na kumtukuza humu, shida nini?Agombee tu hakuna anayemkataza
Benard Membe hana uwoga na anajiamini, ana haki kabisa kabisa kabisa ya kugombea Urais ndani ya CCM. Analindwa na Katiba na si utamaduni au huo utaratibu wako.Hapewi mtu hapa fomu si anajitia ujeuri kwanza alishafukuzwa wa nini huyo mende
Tatizo fomu imechapishwa moja tu, Mwenyekiti asiwe muoga namna hiyo. Kila siku mnamuimbia na kumtukuza humu, shida nini?
Benard Membe hana uwoga na anajiamini, ana haki kabisa kabisa kabisa ya kugombea Urais ndani ya CCM. Analindwa na Katiba na si utamaduni au huo utaratibu wako.Jembe ilo, Membe atasubiri sana na km ilivyo confidential 2025 anaeingia lazma awe Bakwata ndio kijiti kinavyosema. Apo asubiri mpaka 2035 labdaView attachment 1486467
Bila nguvu ya dola CCM wepesi sana, Membe amedhihirisha hilo.Fomu zipo nyingi maneno ya mtandaoni yanawaharibu
Bila nguvu ya dola CCM wepesi sana, Membe amedhihirisha hilo.