Robati
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 701
- 685
Benard Membe hana uwoga na anajiamini, ana haki kabisa kabisa kabisa ya kugombea Urais ndani ya CCM. Analindwa na Katiba na si utamaduni au huo utaratibu wako.Mabeberu na membe bwana!! Kwani mpaka ccm tu? Utaratibu wa ccm sianaujua?
Membe urais nihabari ya zilipendwa!
5yrs magufuri
15 yrs kabudi
Menbe atakuwa kishachoka.