Siku majeshi yakijitambua ndio utakuwa mwisho wa sisiemuKuna huyo kimbelembele, bashiru mchumia tumbo, hata kubali maswala ya halmashauri kuu ya kitaifa, Kuna clip anasema jeshi liingilie Kati watu kuchukua form Zanzibar, haiwezekani form ziwe 12
Hata mabeberu yakilala nje ya tume ya uchaguzi hapati sana sana tutayanyoa ndevuHata akitangazwa na CNN au Fox news hatutampa form
Tuone fomu jamani
Ina maana CCM wanaogopa hata kuandaa mamluki azuge kama vile anashindana na JPM?Atangaze tu tutamdekia hadi Barabara
Iko wapi demokrasia inayohubiriwa huko? Kumbe Membe ana nguvu kiasi hiki?Hata mabeberu yakilala nje ya tume ya uchaguzi hapati sana sana tutayanyoa ndevu
Kumbe na Africanews wametangazaJune 22, 2020
Lagos, Nigeria
Ex-Tanzania minister to challenge Magufuli for ruling party ticket
Published on 22 Jun 2020
A former Tanzanian foreign minister is set to challenge president John Magufuli, for the ruling party's nomination for presidential candidate ahead of keenly awaited polls. Bernard Membe has asked the Central Committee of the governing Chama Cha Mapinduzi, CCM, party to allow him challenge the incumbent for the party's candidature. The CCM party has governed the country for more than four decades since independence.
Source : Africanews
Ataomba kuazima hiyo fomu aliyopewa Mkiti, akatoe kopi..Au hilo nalo haliwezekani??Shida ni fomu, ingekuwa kutangazwa angefanya uimbaji au uigizaji. Swali ni atapata fomu?
Iko wapi demokrasia inayohubiriwa huko? Kumbe Membe ana nguvu kiasi hiki?Bila ubabe dunia haiendi, wakimpenda sana wamuchukue agombee kwao
Tatizo fomu, mengine yote ni porojo.Ataomba kuazima hiyo fomu aliyopewa Mkiti, akatoe kopi..Au hilo nalo haliwezekani??
Everyday is Saturday.......................... 😎
Membe ni kama mbu aliyeuma kwenye makende yenu CCM, unaweza kumuua kwa kupiga kofi la nguvu?
Ina maana CCM wanaogopa hata kuandaa mamluki azuge kama vile anashindana na JPM?
Wanaogopa hata mamluki anaweza kumshinda mzee kwenye mkutano mkuu![emoji24]
Iko wapi demokrasia inayohubiriwa huko? Kumbe Membe ana nguvu kiasi hiki?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila Magufuli nae sasa angempisha tu Membe. Kuwa na rais asiejua kidhungu kwa miaka kumi, dah[emoji848]
Subili siku ya mkutano mkuu uone kama hata atapata nafasibya kuingia ndani ya ukumbi,Iko wapi demokrasia inayohubiriwa huko? Kumbe Membe ana nguvu kiasi hiki?
Huyo amefukuzwa tayari..NEC inaenda kubariki kufukuzwa kwake..Habari ya Membe kuhusu uwanachama wake na kuchukua fomu ya kugombea urais kwa tiketi ya CCM imetangwazwa kupitia vituo vya televisions kama VoA,BBC na Al Jazeera.Nilichukulia poa sana swala lake kumbe ni habari kubwa sana.Natoa rai kwa CCM kutoa fomu ili Membe achukue baadae si mnamkata hofu ya nini?Angalau CCM itaonekana wamefuata misingi ya demokrasia kuliko kuonekane kuna ubabe unafanyika kwa baadhi ya viongozi kwa maslahi yao
Jeshi liingilie kati?!!!Kuna huyo kimbelembele, bashiru mchumia tumbo, hata kubali maswala ya halmashauri kuu ya kitaifa, Kuna clip anasema jeshi liingilie Kati watu kuchukua form Zanzibar, haiwezekani form ziwe 12