Uchaguzi 2020 VoA, BBC na Al Jazeera watangaza habari za Membe juu ya Uanachama wake na nia yake ya kugombea Urais kwa kupitia tiketi ya CCM

Uchaguzi 2020 VoA, BBC na Al Jazeera watangaza habari za Membe juu ya Uanachama wake na nia yake ya kugombea Urais kwa kupitia tiketi ya CCM

June 22, 2020
Lagos, Nigeria

Ex-Tanzania minister to challenge Magufuli for ruling party ticket


Published on 22 Jun 2020
A former Tanzanian foreign minister is set to challenge president John Magufuli, for the ruling party's nomination for presidential candidate ahead of keenly awaited polls. Bernard Membe has asked the Central Committee of the governing Chama Cha Mapinduzi, CCM, party to allow him challenge the incumbent for the party's candidature. The CCM party has governed the country for more than four decades since independence.
Source : Africanews

Kumbe na Africanews wametangaza
 
Hivi ni akili gani hyo raisi na mwenyekiti aliebeba matumaini ya Watanzania na akiwa na ungwe moja tu apingwe ndani ya chama. Haikuwahi kutokea popote.
 
Iko wapi demokrasia inayohubiriwa huko? Kumbe Membe ana nguvu kiasi hiki?

Ukitaka demokrasia itafute kwa mungu,
Huku kungine ni mfano tu.
Lakini ukumbuke hata huko kwa mungu bado mjanja kuwahi, na ndio maana kwa ibrahimu kuna mdogo alipatiwa urithi na mungu akabariki wakati urithi ulikuwa wa kijana mkubwa.
 
Iko wapi demokrasia inayohubiriwa huko? Kumbe Membe ana nguvu kiasi hiki?
Subili siku ya mkutano mkuu uone kama hata atapata nafasibya kuingia ndani ya ukumbi,
Huyo alishafukuzwa hivyo hakuna mtu wa kuhangaika nae
 
Habari ya Membe kuhusu uwanachama wake na kuchukua fomu ya kugombea urais kwa tiketi ya CCM imetangwazwa kupitia vituo vya televisions kama VoA,BBC na Al Jazeera.Nilichukulia poa sana swala lake kumbe ni habari kubwa sana.Natoa rai kwa CCM kutoa fomu ili Membe achukue baadae si mnamkata hofu ya nini?Angalau CCM itaonekana wamefuata misingi ya demokrasia kuliko kuonekane kuna ubabe unafanyika kwa baadhi ya viongozi kwa maslahi yao
Huyo amefukuzwa tayari..NEC inaenda kubariki kufukuzwa kwake..
 
Kuna huyo kimbelembele, bashiru mchumia tumbo, hata kubali maswala ya halmashauri kuu ya kitaifa, Kuna clip anasema jeshi liingilie Kati watu kuchukua form Zanzibar, haiwezekani form ziwe 12
Jeshi liingilie kati?!!!
 
Back
Top Bottom