Uchaguzi 2020 VoA, BBC na Al Jazeera watangaza habari za Membe juu ya Uanachama wake na nia yake ya kugombea Urais kwa kupitia tiketi ya CCM

Uchaguzi 2020 VoA, BBC na Al Jazeera watangaza habari za Membe juu ya Uanachama wake na nia yake ya kugombea Urais kwa kupitia tiketi ya CCM

Kwa hii kipindi haiwezekan, final say ya jiwe kwa sasa ni mamvi sasa unajua muktasar wa mamvi na membe..haitotokea kitu km iko kamwe wakina karamajay watakimbia akipewa kijiti huyu. Haitotokea
Kwahiyo mko tayar kuvunja katiba yenu wenyewe?? Huo uoga unatokana na nn hasa?
 
CCM sio NEC...wao wanatoa form Kwa wanachama wao wenye sifa..ata USA wenyewe pamoja na madudu ya Trump..hakuna Republican yeyote aliyechukua form kugombea..same thing Kwa kipindi cha Obama's second term...wakifanya CCM inakua nongwa!!???
Toka hapo nje ya nyumba yako then angalia angani juu mawinguni then piga kelele kwa nguvu ukisema MIMI NI BOYAAAAA NISIYEJUA CHOCHOTE KHS POLITICS ZA US.
 
Ukizielewa propaganda za mabeberu wala uwezi angaika nao, from the outside wengine tulishaona huu utaratibu wa CDM kila mtu kwenda kuchukua form ya uraisi kuna movie inasukwa.

Mabeberu walisubiri mtu ajitokeze CCM ambae wanajua kabisa atofika mbali wapate kitu hasi cha kuandika kuhusu Magufuli kwenye uchaguzi. Hila CCM masters wakamfuta uana chama mapema trouble maker amebaki kupayuka ovyo huko Lindi.

Kwa ivyo kile CDM walichokuwa wanafanya ni kama kuonyesha binary opposite wapate cha kuponda upande wa pili. Mgombea wa CDM atakuwa Nyalandu kama Lissu asiporudi; Msigwa na Mbowe sidhani kama wana nia ya kugombea uraisi.
 
😂😂😂😂😂😂 Kwa sababu mnajua fika kwamba dikteta has nothing in his upstairs as compared to Membe. Atapigwa MWELEKA MKUBWA arudi chato akafuge sungura. 😜😜😜😜😜

Mpeni nafasi agombee huko chadema na akina Nyalandu,
 
Habari ya Membe kuhusu uwanachama wake na kuchukua fomu ya kugombea urais kwa tiketi ya CCM imetangwazwa kupitia vituo vya televisions kama VoA,BBC na Al Jazeera.

Nilichukulia poa sana swala lake kumbe ni habari kubwa sana.Natoa rai kwa CCM kutoa fomu ili Membe achukue baadae si mnamkata hofu ya nini?

Angalau CCM itaonekana wamefuata misingi ya demokrasia kuliko kuonekane kuna ubabe unafanyika kwa baadhi ya viongozi kwa maslahi yao
fomu zimeisha na iliprintiwa moja tu.
Aende huko NCCR MAGEUZI zipo pia
 
Habari ya Membe kuhusu uwanachama wake na kuchukua fomu ya kugombea urais kwa tiketi ya CCM imetangwazwa kupitia vituo vya televisions kama VoA,BBC na Al Jazeera.

Nilichukulia poa sana swala lake kumbe ni habari kubwa sana.Natoa rai kwa CCM kutoa fomu ili Membe achukue baadae si mnamkata hofu ya nini?

Angalau CCM itaonekana wamefuata misingi ya demokrasia kuliko kuonekane kuna ubabe unafanyika kwa baadhi ya viongozi kwa maslahi yao
CCM hawawezi tishwa na nyie. Ni wababe tosha
 
Yaani munamuogopa sana Membe ndo maana mnafanya ubabe. Mnajua wenye mlivyomchoka mwenyekiti ila ni waogo na wanafiki msiojali maslahi ya taifa!
Mngekuwa mnajali maslahi ya taifa mngefanya kinachotakiwa kufanywa
 
Ila Magufuli nae sasa angempisha tu Membe. Kuwa na rais asiejua kidhungu kwa miaka kumi, dah[emoji848]

Mbona wewe umeandika kiswahili na sio kidhungu? Andika kidhungu basi!
 
Kuna huyo kimbelembele, bashiru mchumia tumbo, hata kubali maswala ya halmashauri kuu ya kitaifa, Kuna clip anasema jeshi liingilie Kati watu kuchukua form Zanzibar, haiwezekani form ziwe 12
Hakusema jeshi,alisema,watu 12 wanataka urais itavunja mshikamano wa chama na taifa letu,anawaambia wanaccm hasa makatibu kwamba wapo wanaangalia tu,anawahimiza waelekeze majeshi yao huko.
 
Usikute membe anaandaliwa kuwa rais ajae baada ya magufuli! So hii ndo miaka ya kuanza kumspot ili kazi itakayokuja iwe nyepesi!!
Wacheni kwanza sahivi atengeneze wafuasi halafu kuonekane ccm kama vile kuna kampasuko! Then 2025 watakuja kusema wanaacha tofauti zao na kumsimamisha membe ambae tayari atakuwa ameshatengenezewa pick kubwa tu!.. naona hata hapa upinzani kama wanamuelewa hivi..😅

Membe namuona kama kiungo fulani tu ambae lazima achezeshwe ili mechi ichezwe.. I mean jasusi la kisiasa!!
 
Nilichukulia poa sana swala lake kumbe ni habari kubwa sana.Natoa rai kwa CCM kutoa fomu ili Membe achukue baadae si mnamkata hofu ya nini?

Angalau CCM itaonekana wamefuata misingi ya demokrasia kuliko kuonekane kuna ubabe unafanyika kwa baadhi ya viongozi kwa maslahi yao
Hofu imewajaa. Wanaogopa sana tena sana. Kama wanajiamini watoe fomu watu wagombee tuone. Wanajigamba kwamba wana demokrasia lakini hamna kitu. Kama wanabisha watoe ruhusa watu wachukue fomu tuone
 
Back
Top Bottom