VoA: Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini

VoA: Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini

Watz emb tujiulize mbona awamu hii madili na nchi kubwa yamekua mengi? Hamwoni ya kua nchi inauzwa hii[emoji1787] ukweli hali ni mbaya. Kati ya awamu zote hii ndo imeleta wanyonyaji wengi na bado mi5 tena. Sioni happy endings kabisa
Hiki ndicho watanzania walichokuwa wanakitaka, ushirikiano na mataifa ya nje kwa kugawa gawa rasilimali kipumbavu kabisa. Shenzi.
 
Mtakopa sana utafikiri mtakuja kuzalisha magari ili mlipe madeni daa
Yaani ipo siku nusu ya nchi itauzwa halafu mtapelekwa mkae nusu iliyobaki
Na mtashangilia mkipewa buku 10
Mbona ni suala la muda tu na tena hata sio muda mrefu kuanzia sasa tutaifikia debt limit kisha kitakachobaki itakuwa ni kulipa tu madeni...

Mbaya zaidi kwa wakati huo hata miradi yote ya kimaendeleo italazimika kuendeshwa na kodi zenu nyie nyie wanainchi maana hakuna tena kukopesheka na hapo hapo nyie ndio wa kulipa hayo madeni na wakati huo inflation inazidi kupaa tu... manina hapo lazima mama yenu akawauze hata kwa waarabu huko apate hela ya kupunguza madeni
 
Ikiwa wewe si mpuuzi basi u miongoni mwao wezi na wauzaji wa mali za nchi na ndio maana unawaita wanaoibiwa ni wapuuzi.
Mimi nachukia sana wezi, hata nikiona mtu mwingine anaibiwa huwa naamia sana na ni mrahisi kusaidia mtu anayeibiwa.

Kinachonikera mimi ni kuona wezi wanatetewa, wezi wana wafuasi ambao ndio sijui mnawaita machawa... nachukia sana kuona watanganyika mkishuudia yanayofanywa na serikali ya Samia yanaipeleka nchi shimoni lakini bado mnampamba eti ana upiga mwingi ni akili hiyo?

Haya ukijaribu kupaza sauti hata huku kwenye social media japo haziskikii wanatokea wapuuzi kuja kukupinga na maneno ya kebehii, sasa kwanini nisiwaite wapuuzi?
 
Picha hii inaonyesha ujumbe wa Tanzania (wageni) ulijaza chumba cha mkutano mpaka wakakosa viti, wakati ujumbe wa Korea (wenyeji) walikuwa wanne. Wajumbe wote hao wanalipwa per-diem na kodi zetu?

img-20240603-wa0020-jpg.3007813
 
Hiki ndicho watanzania walichokuwa wanakitaka, ushirikiano na mataifa ya nje kwa kugawa gawa rasilimali kipumbavu kabisa. Shenzi.
Ofcourse wale waliokuwa wanapiga makelele "tunataka maendeleo ya watu na sio vitu" hii ndio tafsiri yake.

Hakuna tofauti na watoto walioachiwa ghorofa la urithi kariakoo halafu msimamizi wa mirathi aseme waliuze kila mtu afe na chake badala ya kuchukua kodi za kila mwaka.
 
Picha hii inaonyesha ujumbe wa Tanzania (wageni) ulijaza chumba cha mikitano mpaka wakakosa viti, wakati ujumbe wa kore (enyeji) walikuwa wanne. Wajumbe wote hao wanalipwa per-diem na kodi zetu.

img-20240603-wa0020-jpg.3007813
Pesa wanazokopa ndio hizo hizo wanasafilia maswahiba wa Rais.

Yaani gharama ya kwenda kukopa unamzidi hadi mkopeshaji.
 
Picha hii inaonyesha ujumbe wa Tanzania (wageni) ulijaza chumba cha mikitano mpaka wakakosa viti, wakati ujumbe wa kore (enyeji) walikuwa wanne. Wajumbe wote hao wanalipwa per-diem na kodi zetu.

img-20240603-wa0020-jpg.3007813
Wenzetu wana kazi za kufanya. Sisi ukipita mwenge huduma zinaathirika kwa sababu watendaji wanakuwa kwenye msafara wa mwenge.
 
Hivi nchi inapotaka kukopa ni Rais anaamua tu akakope au kuna vigezo vingine? Hatari hii
Maana hata na baba mwenye busara akitaka kukopa huwa anashirikisha familia.
 
Mosi, Watanzania fanyeni kazi kwa bidii kila mmoja kwa nafasi yake, ili kwanza kupata maendeleo binafsi kiuchumi...

Pili, Watanzania wa kada zote epukeni kuendekeza rushwa na ubadhirifu wa fedha za umma, waliopewa nafasi ya kuwa wafanyakazi kwenye taasisi za umma wamegeuka kuwa wala fedha na wabadhirifu waliopindukia...

Tatu, Watanzania wengi wangali wajinga wasioweza kutumia hata 3% ya ubongo ambao wamepewa bure kabisa na Mungu. Watanzania walio wengi kwa makusudi kabisa wamekuwa ni watu wa kukiuka taratibu za kimaendeleo zilizoanishwa wazi na hata ambazo hazipo wazi (zinazohitaji common sense) na ndio maana utaona Watanzania wanaharibu miundombinu kama ya barabara, wanajenga nyumba kiholela tu, mambo ya kipuuzi yana wafuasi wengi kuliko mambo ya maana n.k
 
Na yoyte hayo hi Tanganyika, kwao Zenji hapana.
Na mitanganyika imelala tu!
Hamjui mnachokitaka kwa hiyo mtulie tu. Alipowaomba mumuombee ninyi mlimbeza kama hivi...!
....watu ambao hawawezi kuhimili mabilioni ya kununuliwa na "magufuli".
Tusubiri Matunda ya mikopo, kikubwa mikopo hiyo ionekane kufanya kilichokusudiwa. Mama anaweza kusimamia hilo.
 
Back
Top Bottom