Hiki ndicho watanzania walichokuwa wanakitaka, ushirikiano na mataifa ya nje kwa kugawa gawa rasilimali kipumbavu kabisa. Shenzi.Watz emb tujiulize mbona awamu hii madili na nchi kubwa yamekua mengi? Hamwoni ya kua nchi inauzwa hii[emoji1787] ukweli hali ni mbaya. Kati ya awamu zote hii ndo imeleta wanyonyaji wengi na bado mi5 tena. Sioni happy endings kabisa
Yes...Unajua kilichosainiwa?
Mbona ni suala la muda tu na tena hata sio muda mrefu kuanzia sasa tutaifikia debt limit kisha kitakachobaki itakuwa ni kulipa tu madeni...Mtakopa sana utafikiri mtakuja kuzalisha magari ili mlipe madeni daa
Yaani ipo siku nusu ya nchi itauzwa halafu mtapelekwa mkae nusu iliyobaki
Na mtashangilia mkipewa buku 10
Ungejua usingekurupukaYes...
Najua kilicho sainiwa.
Mimi nachukia sana wezi, hata nikiona mtu mwingine anaibiwa huwa naamia sana na ni mrahisi kusaidia mtu anayeibiwa.Ikiwa wewe si mpuuzi basi u miongoni mwao wezi na wauzaji wa mali za nchi na ndio maana unawaita wanaoibiwa ni wapuuzi.
Na ukiwaita wapuuzi unabadilisha nini kuhusu msitakabali wa hatima ya Tanganyika?sasa kwanini nisiwaite wapuuzi?
Ofcourse wale waliokuwa wanapiga makelele "tunataka maendeleo ya watu na sio vitu" hii ndio tafsiri yake.Hiki ndicho watanzania walichokuwa wanakitaka, ushirikiano na mataifa ya nje kwa kugawa gawa rasilimali kipumbavu kabisa. Shenzi.
Hii kwa kuandika hapaWewe umechukua hatua gani, mkuu?
Wanapata assuarance kutoka kwa mu mwenye absolute powers.Dp world hawajaogopa lile vugu vugu wanaroho ngumu sana
Pesa wanazokopa ndio hizo hizo wanasafilia maswahiba wa Rais.Picha hii inaonyesha ujumbe wa Tanzania (wageni) ulijaza chumba cha mikitano mpaka wakakosa viti, wakati ujumbe wa kore (enyeji) walikuwa wanne. Wajumbe wote hao wanalipwa per-diem na kodi zetu.
Wenzetu wana kazi za kufanya. Sisi ukipita mwenge huduma zinaathirika kwa sababu watendaji wanakuwa kwenye msafara wa mwenge.Picha hii inaonyesha ujumbe wa Tanzania (wageni) ulijaza chumba cha mikitano mpaka wakakosa viti, wakati ujumbe wa kore (enyeji) walikuwa wanne. Wajumbe wote hao wanalipwa per-diem na kodi zetu.
MwafaPicha hii inaonyesha ujumbe wa Tanzania (wageni) ulijaza chumba cha mikitano mpaka wakakosa viti, wakati ujumbe wa kore (enyeji) walikuwa wanne. Wajumbe wote hao wanalipwa per-diem na kodi zetu.
Zenj kuna rais, huyu ni wa Tanganyika, hata waliosaini ni wa Tanganyika,Na yoyte hayo hi Tanganyika, kwao Zenji hapana.
Na mitanganyika imelala tu!
Kama hatuwezi kukopa tuchimbe wenyewe na kila mwaka tunazalisha geologists basi taifa zima tuna akili za wendawazimuHiyo ndiyo faida ya kuwa na maliasili, au ulitaka uchumi unao uukalie?
Hamjui mnachokitaka kwa hiyo mtulie tu. Alipowaomba mumuombee ninyi mlimbeza kama hivi...!Na yoyte hayo hi Tanganyika, kwao Zenji hapana.
Na mitanganyika imelala tu!
Tusubiri Matunda ya mikopo, kikubwa mikopo hiyo ionekane kufanya kilichokusudiwa. Mama anaweza kusimamia hilo.....watu ambao hawawezi kuhimili mabilioni ya kununuliwa na "magufuli".