umeumizwa sehemu gani gentleman au just chuki bianfsi tuMda mfupi uliopita ufm wamekatisha taarifa ya habari kutoka VOA walipoanza kutangaza habari za Tanzania kutoheshimu haki za binadamu. Huu ni ujinga uliopitiliza. CCM na serikali yake wanajitahidi kuficha maovu yao yasijulikane kwa wananchi hasa wale wajinga ambao ndio wengi na mtaji wao. Huwezi kuficha mwanga gizani
Ujinga wenu hamjui kuwa tuko karne ya 21umeumizwa sehemu gani gentleman au just chuki bianfsi tu
inashangaza sana karne ya sayansi na technolojia mtua anaishi kwa chuki binafsi tuUjinga wenu hamjui kuwa tuko karne ya 21
Sio VOA tu ata DW wasitishe mkataba nao wanazingua. Siku ya jumamosi kulikuwa na mjadala kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa. UFM wakaingia mitini wakaweka mziki. UCHAWA mbaya sana.Mda mfupi uliopita ufm wamekatisha taarifa ya habari kutoka VOA walipoanza kutangaza habari za Tanzania kutoheshimu haki za binadamu. Huu ni ujinga uliopitiliza. CCM na serikali yake wanajitahidi kuficha maovu yao yasijulikane kwa wananchi hasa wale wajinga ambao ndio wengi na mtaji wao. Huwezi kuficha mwanga gizani
Huna hoja wewe std four, mnatuharibia jukwaa letuinashangaza sana karne ya sayansi na technolojia mtua anaishi kwa chuki binafsi tu
Samia ni mwoga wa kivuli chake, hajiaminiSio VOA tu ata DW wasitishe mkataba nao wanazingua. Siku ya jumamosi kulikuwa na mjadala kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa. UFM wakaingia mitini wakaweka mziki. UCHAWA mbaya sana.
yaani form six mzima una chuki na mihemko gentleman? dah! inashangaza sana aise, yaan huna pointHuna hoja wewe std four, mnatuharibia jukwaa letu
Sijibizani tena na msagaji, overyaani form six mzima una chuki na mihemko gentleman? dah! inashangaza sana aise, yaan huna point
Mimi mwenyewe nashanga kwanini hizo redio za ki.ataifa zipo kimya bila shaka ni kazi ya abdul bushir ...hiyo tabia ya kukata vipindi imekubuu kipindi cha samia ...je samia alisemaje kuhusu jpm ...kuwa yeye ataruhusu uhuru wa habari ila kwa sasa hali ni mbava kuliko awamu zoteMda mfupi uliopita ufm wamekatisha taarifa ya habari kutoka VOA walipoanza kutangaza habari za Tanzania kutoheshimu haki za binadamu. Huu ni ujinga uliopitiliza. CCM na serikali yake wanajitahidi kuficha maovu yao yasijulikane kwa wananchi hasa wale wajinga ambao ndio wengi na mtaji wao. Huwezi kuficha mwanga gizani
mihemko na matusi ni useless na nonsense gentleman, hala huna haja kubabaika nayo kwanguSijibizani tena na msagaji, over
Kama hawatangazi umezijuajeHizi mainstream media hasa za Magharibi zina unafiki sana
Hao VoA mbona hawatangazi mauaji yanayofanywa na Marekani na washirika wake
K
By the way siungi mkono kinachoendelea Taanzania
Kam
Kama hawatangazi umezijuaje
Ulitoka bei gani kuanzisha ufm?Ujinga wenu hamjui kuwa tuko karne ya 21
hao UFM kiongozi wa nchi ni mwenzao katika imaniMda mfupi uliopita ufm wamekatisha taarifa ya habari kutoka VOA walipoanza kutangaza habari za Tanzania kutoheshimu haki za binadamu. Huu ni ujinga uliopitiliza. CCM na serikali yake wanajitahidi kuficha maovu yao yasijulikane kwa wananchi hasa wale wajinga ambao ndio wengi na mtaji wao. Huwezi kuficha mwanga gizani
Wewe umetoa ngapi? acha kushabikia kila kinacho katiza mbele yakoUlitoka bei gani kuanzisha ufm?