gammaparticles
JF-Expert Member
- Jan 9, 2024
- 1,407
- 3,855
Tofautisha capitalism na free market economy,free market economy ipo kitambo, capitalism ni wenye pesa kuilekeza serikali Cha kufanya,ndiyo ilivyo marekani,ndiyo maana palikua na maandamano juzi kati ya wamarekani kuitaka nchi yao toka kwa matajiri ambao ni 1% ya wamarekaniKaka unaweza kufafanua maana ya ubepari na maana ya ujamaa kinachotokea sasa hivi ni utofauti wa viwango vya kuaply hizo sera hakuna taifa linalo operate fully Capitalism ama Socialism
Kamari zilikuwepo wakati wa Nyerere,watu hawakukamatwa uzururaji Bali walikamatwa Kodi,kipindi hicho huruhusiwi kufanya biashara na kazi ilikua kuajiriwa taasisi za serikali na kilimo,kilimo hufanyika masika iweje ukamate watu uzururaji kiangazi!?..ukishaweka soko huria huo siyo ujamaa Tena hata Kama utauita ujamaa, shilling yetu kutoachwa mbali na Dola si kwa sababu ya uimara wa uchumi,wajamaa serikali hudhibiti thamani ya pesa pia,ndiyo maana ya centralized economy,kila kitu ni serikali kuu,hayo mazao ya biashara tulouza nje hayakua ya watu binafsi Bali umma,katani na kahawaNajua ni tofauti. Lakini ni aina mbili tofauti za ujamaa. Wote ni ujamaa tu, Kama ulutheri na ukatoliki ni aina za ukristo.
Au Ushiha na Usunni ni aina za uislam.
Kasome vizuri kuhusu historia ya Nordic countries socialism hasa miaka 1970 hadi 1990. Siasa yao ilikuwa conservative socialism.
Hiyo uliyo ita mixed economies wenyewe wanaita centerist socialism kwa maana ya mlengo wa kati lakini bado ni ujamaa. i.e. conservative and social democratic-led governments have moved toward the center.
Na kwa miaka ya karibuni nchi kadhaa watu wa social democratic wamechukua madaraka Ulaya.
Kutofanikiwa kiuchumi Tanzania ni zao la tabia zetu za asili uvivu, kukosa uaminifu, n.k.
Kwa ninyi msiojua ujamaa wa Nyerere ulikuwaje ngoja niwajuze. Kulikuwa hakuna wacheza kamali na pool table mitaani kutwa nzima au wapiga debe. Walikamatwa na kuwekea ndani kwanini wazurule badala ya kwenda kufanya kazi.
Kila mtu aliyefikisha miaka 18 alilipa kodi.
Matokeo yake yalionekana waziwazi. Fedha ya Tanzania haikuachwa mbali na Dola ya Marekani na huduma za kijamii nyingi zilipatikana kwa uhakika.
Tuliuza mazao ya biashara mengi nje ya nchi, n.k. Tuliokuwa na viwanda vingi tu.
CC: inamankusweke
Huduma za kijamii kwako ni nini?huduma za kijamii nyingi zilipatikana kwa uhakika.
Yani kwa dunia ya leo afrika inaamka kutoka kwenye usingizi wa utumwa na kumnyenyekea mnyonyaji lakini kuna mazombie bado wanamdifia mmarekani fuuh tutafika tukiwa tumechoka sana😂🚮Huko Burkina Faso Hali inazidi kuwa tete Kwa bwana mdogo Rais Captain Ibrahim Traore ambae kwa Sasa anaishi Kwa kujificha ficha akihofia usalama wake.
Hali hii inajiri kuliwa na taarifa za Wanajeshi wengi wapatao 80-120 kuuwawa n wanamgambo wa jihadi hukunikidaiwa kwamba usalama wa Nchi hiyo unazidi kudorora na kwamba Baadhi ya kambi za Jeshi zimeasi kiasi ya kupelekea Rais Traore kutokomea kusikojulikana akihofia kuuwawa na kupinduliwa so anavuta mda Ili aweze kujadiliana na wanajeshi wanaodaiwa kiasi.
Washirika wa bwana Traore kina Wagner na Mali wanajaribu kumsaidia kadiri inavyowezekana Ili kuokoa jahazi.👇👇
---
Hii ni taarifa ya RFI ambayo tunakutangazia Jumanne hii, Juni 18. Kati ya wanajeshi 80 na 120 wa Mali na mamluki wa kundi la Wagner kutoka Urusi wamewasili Ouagadougou katika siku za hivi karibuni. Hali ni ya wasiwasi nchini Burkina Faso tangu shambulio la Mansila siku ya Jumanne iliyopita Juni 11. Kiasi kwamba kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokuwa kimeopangwa kufanyika siku ya Jumatano, Juni 19 asubuhi hakikufanyika tena.
Wakati wa shambulio la Mansila siku ya Jumanne Juni 11, zaidi ya askari mia moja wa Burkina Faso waliuawa na wengine kuchukuliwa mateka na wanajihadi wa JNIM (Kundi la linlodi kutetea Uislamu na Waislamu, lenye uhusiano na al-Qaeda). Kuhusu suala hili, mamlaka ya mpito ya Burkina Faso bado haijatoa tamko lolote na, baada ya mauaji haya, baadhi ya wanajeshi wameonyesha hasira yao.
Siku ya Jumatano ya wiki iliyopita, bomu lilirushwa katika makao makuu ya televisheni ya taifa. Chanzo cha tukio hilo kimeendelea kushangaza hadi leo. Kuhusu rais wa mpito, Kapteni Ibrahim Traoré, alionekana kwa kwa muda mchache siku ya Jumapili wakati wa swala ya Eid il Adha (Tabaski), bila kuzungumza. Hali ambayo inachochea tu maswali juu ya hali yake. Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokuwa kimeopangwa kufanyika Jumatano Juni 19 kwa hivyo hakikufanyika.
Kikao hiki kilipaswa kuongozwa, kama kila Jumatano asubuhi, na rais wa mpito, Kapteni Ibrahim Traoré. Lakini kikao cha Baraza la Mawaziri hakikufanyika. Hakuna taarifa rasmi, lakini chanzo katika ofisi ya rais wa Burkina Faso kinabaini kwamba kikao cha Baraza la Mawaziri kwa hakika lkimeahirishwa hadi kesho, Alhamisi, bila kutoa maelezo zaidi.
Ibrahim Traoré haojaonekana tangu wiki moja sasa
Kufutwa kwa kikao hiki au kuahirishwa hakutashindwa kuzua maswali kuhusu hali ya Kapteni Ibrahim Traoré, ambaye yuko kimya na hajaonekana tangu wiki moja sasa, na kuhusu kile ambacho kwa sasa kiko hatarini kwa mkuu wa mamlaka.
Siku ya Jumanne, Juni 18, katika taarifa kwa vyombo vya habari, jeshi la Burkina Faso kwa vyovyote vile lilitaka kuhakikisha: uvumi ambao umeripotiwa, tangu wiki iliyopita, "uvumi na uasi katika baadhi ya kambi za jeshi," kulingana na makao makuu ya jeshi, "havina msingi na vinapotosha”.
Mali imetuma wanajeshi 80 hadi 120 wa Mali na mamluki wa kundi la Wagner kutoka Urusi huko Ouagadougou kumsaidia rais wa mpito. Je, iddi hii ya wanajeshi na washirika wao wa Wagner zinahakikisha kwamba Kapteni Ibrahim Traoré anasalia madarakani? Je, ni suala la kuandaa aina ya "marekebisho ya mpito", kama baada ya mapinduzi ya pili ya kijeshi nchini Mali mnamo mwezi Mei 2021?
Katika makala iliyochapishwa alasiri ya leo, Gazeti la Le Monde linasema, kwa mujibu wa "duru za kuaminika", kwamba Ibrahim Traoré kwa sasa "amejificha" na kwamba "mazungumzo kati ya wanajeshi yanaendelea ili kuamua juu ya mustakabali wa utawala".
Chanzo: https://www.rfi.fr/sw/afrika/20240619-burkina-faso-kikao-cha-baraza-la-mawaziri-chaahirishwa-ibrahim-traoré-akimbilia-mafichoni?utm_medium=social&utm_campaign=x&utm_source=shorty&utm_slink=rfi.my/AhxU
My Take
Huyu dogo wa maigizo na kibaraka wa Russia hana miaka Mingi,alidhani yeye ni malaika? Mda utaleta majibu.
Acha porojo nyingi, "Nordic model" ni mfumo wa welfare capitalism na sio huo ukomunisti wa zamani wa China, USSR na ujamaa wa Nyerere.Najua ni tofauti. Lakini ni aina mbili tofauti za ujamaa. Wote ni ujamaa tu, Kama ulutheri na ukatoliki ni aina za ukristo.
Au Ushiha na Usunni ni aina za uislam.
Kasome vizuri kuhusu historia ya Nordic countries socialism hasa miaka 1970 hadi 1990. Siasa yao ilikuwa conservative socialism.
Hiyo uliyo ita mixed economies wenyewe wanaita centerist socialism kwa maana ya mlengo wa kati lakini bado ni ujamaa. i.e. conservative and social democratic-led governments have moved toward the center.
Na kwa miaka ya karibuni nchi kadhaa watu wa social democratic wamechukua madaraka Ulaya.
Hakuna Uasi burkinafaso muasi ni marekani na ufaransa na hawaja ondoka bali wamejificha vichakani wanahitaji kurudi kwa njia nyingine amkeni afrika ni yetu mzungu anakwao mbn mnashsbikia movie eti mmarekani ni noma? Mnasahau uhalisia wa maisha ya waafrika?Wegner hawezi kumlinda siku zote, pia wegner siyo wengi wakiweza kukabiliana na uasi wa jeshi
Sasa kumkataa Mmarekani/Mfaransa kisha unamkubali Mrusi sasa hapo akili iko wapi..😛😛😛Hakuna Uasi burkinafaso muasi ni marekani na ufaransa na hawaja ondoka bali wamejificha vichakani wanahitaji kurudi kwa njia nyingine amkeni afrika ni yetu mzungu anakwao mbn mnashsbikia movie eti mmarekani ni noma? Mnasahau uhalisia wa maisha ya waafrika?
Huyo uliyemqote ni chawa maarufu humu wa yule bibi mtembeza bakuli na anayependa kuwakamua wanainchi kwa matozo yasiokuwa na kichwa wala miguu..... kwa hiyo usitegemee ataona jema Kwa bwana Ibrahim Traore maana akilini mwake kiongozi mzuri ni yule anayewalamba makalio wazungu na kuwapa rasilimali kiholela hole kwa kigezo cha kuimarisha demokrasia.Kwakweli sijajua kwanini unasema Dogo wa maigizo, hivi ni lini Afrika tutapenda vyakwetu? huoni kwamba unatukosea waafrika wenzako? nafikiri ingalikuwa vyema kutafuta njia ya kutafuta ya jinsi ya kutatua matatizo yetu wenyewe? Kumpindua sio suluhisho bali kutafuta njia ya kutatua tatizo kwa kukubaliana wote kwa pamoja ndio njia njema. Tujipende na kulipenda bara letu.
Kwamba waendelee kubaki kwenye makucha ya mmarekani kuliko kuwa huru???Hayo mataifa ya Burkina Faso, Mali na Niger kama wamemuondoa Mfaransa kusudi wafanye sub kwa kumuingiza Mrusi basi wanajidanganya sana.
Huwezi ukawa na Mrusi kisha ukapata maendeleo hilo halijawahi kutokea na halitakaa litokee kwani hakuna taifa lolote linaloweza kuwa karibu na Russia kwa kuachana na nchi za magharibi likapiga hatua yoyote ya kimaendeleo, hakuna.
Yale mataifa ya Ulaya mashariki yaliyokuwa chini ya USSR yalikuwa ni choka mbaya hadi yalipo achana na Russia na kujiunga na kambi ya Marekani na washirika wake ndio sasa hivi wanapiga hatua kimaendeleo.
Russia sio taifa la kukaa naye karibu na hao akina Burkina Faso, Mali na Niger wajiandae kwa mapinduzi mengine wananchi wao hawatakubali ushirika wa kuwanufaisha waroho wachache kwa kisingizio cha kuzichukia nchi za magharibi.
Hili bara litaendelea kutawaliwa mpaka kiama baada ya waafrika kuachana na utamaduni wao na kukumbatia tamaduni za kigeni wanazodanganywa kwamba ni dini.Kwamba waendelee kubaki kwenye makucha ya mmarekani kuliko kuwa huru???
Waafrika wenye akili na mindset kama yako ni sababu kubwa kwanin hili bara litaendelea kuwa maskini na kutawaliwa mpaka kiama.