Vocha kupandishwa bei

Vocha kupandishwa bei

Njugu mawe

Member
Joined
Sep 8, 2023
Posts
33
Reaction score
33
Binafsi huwa natumia zaidi Halopesa ili kuunga vifurushi katika laini yangu.

Leo nikahitaji kunua vocha ya halotel ili nijaze salio la kawaida, nilivyoingia katika duka moja ili kufanya manunuzi, Nikaambiwa
Vocha ya 500 inauzwa 550,
Vocha ya 1000 inauzwa 1100.

Hili lipoje huku mtaani?
images (7).jpeg
 
Binafsi huwa natumia zaidi Halopesa ili kuunga vifurushi katika laini yangu.

Leo nikahitaji kunua vocha ya halotel ili nijaze salio la kawaida, nilivyoingia katika duka moja ili kufanya manunuzi, Nikaambiwa
Vocha ya 500 inauzwa 550,
Vocha ya 1000 inauzwa 1100.

Hili lipoje huku mtaani?View attachment 3001505
Kuna watu hadi leo mnaweka Vocha za kukwangua? mbona mnavutana na sana nyuma na kasi ya Digitali?
 
Yaani mi sifanyiwi huo uzwazwa wakati bei elekezi ipo.😂😂😂😂

Ukute jamaa yupo Nachingwea ndani ndani huko nangondo...

Maana watu wa vijijini huko daah 😂😂😂😂
Naishi mbezi, ila hii nimekutana nayo mlandizi sokoni kabisa
 
Mie nishasahau kabisa kama kuna kitu kinaitwa VOCHA.
Hata mimi hii ni mara ya kwanza kutaka hiyo huduma tangu mwaka jana sijanunua vocha cash, ndiyo maana hii ikanishtua, nikadhani labda watumiaji wa huduma hii wanafahamu hilo
 
Kuna watu hadi leo mnaweka Vocha za kukwangua? mbona mnavutana na sana nyuma na kasi ya Digitali?
Hata mimi hii ni mara ya kwanza kutaka hiyo huduma tangu mwaka jana sijanunua vocha cash, ndiyo maana hii ikanishtua, nikadhani labda watumiaji wa huduma hii wanafahamu hilo
 
Hata mimi hii ni mara ya kwanza kutaka hiyo huduma tangu mwaka jana sijanunua vocha cash, ndiyo maana hii ikanishtua, nikadhani labda watumiaji wa huduma hii wanafahamu hilo
Bei ya jumla ya vocha mitandao yote imepanda.
Nadhani imebidi wauzaji wa reja reja nao wapandishe Ili kufidia gharama zao
 
Back
Top Bottom