Njugu mawe
Member
- Sep 8, 2023
- 33
- 33
Binafsi huwa natumia zaidi Halopesa ili kuunga vifurushi katika laini yangu.
Leo nikahitaji kunua vocha ya halotel ili nijaze salio la kawaida, nilivyoingia katika duka moja ili kufanya manunuzi, Nikaambiwa
Vocha ya 500 inauzwa 550,
Vocha ya 1000 inauzwa 1100.
Hili lipoje huku mtaani?