Njugu mawe
Member
- Sep 8, 2023
- 33
- 33
Inashangaza sijui sababu ni nini?Kwetu bado
Mimi ninekuwa nikitumia halo pesa, lakini nilikuwa mahali nikakosa huduma ya halo pesa nikahitaji ninunue vocha ndiyo nikakutana na hiiSi bora nitumie tigo pesa kununua salio moja kwa moja
Kuna watu hadi leo mnaweka Vocha za kukwangua? mbona mnavutana na sana nyuma na kasi ya Digitali?Binafsi huwa natumia zaidi Halopesa ili kuunga vifurushi katika laini yangu.
Leo nikahitaji kunua vocha ya halotel ili nijaze salio la kawaida, nilivyoingia katika duka moja ili kufanya manunuzi, Nikaambiwa
Vocha ya 500 inauzwa 550,
Vocha ya 1000 inauzwa 1100.
Hili lipoje huku mtaani?View attachment 3001505
Mie nishasahau kabisa kama kuna kitu kinaitwa VOCHA.Kuna watu hadi leo mnaweka Vocha za kukwangua? mbona mnavutana na sana nyuma na kasi ya Digitali?
Yaani mi sifanyiwi huo uzwazwa wakati bei elekezi ipo.ππππMbona yenyewe imeandikwa 1000 hapo.
Naishi mbezi, ila hii nimekutana nayo mlandizi sokoni kabisaUpo kijijini?
Naishi mbezi, ila hii nimekutana nayo mlandizi sokoni kabisaYaani mi sifanyiwi huo uzwazwa wakati bei elekezi ipo.ππππ
Ukute jamaa yupo Nachingwea ndani ndani huko nangondo...
Maana watu wa vijijini huko daah ππππ
Hata mimi hii ni mara ya kwanza kutaka hiyo huduma tangu mwaka jana sijanunua vocha cash, ndiyo maana hii ikanishtua, nikadhani labda watumiaji wa huduma hii wanafahamu hiloMie nishasahau kabisa kama kuna kitu kinaitwa VOCHA.
Hata mimi hii ni mara ya kwanza kutaka hiyo huduma tangu mwaka jana sijanunua vocha cash, ndiyo maana hii ikanishtua, nikadhani labda watumiaji wa huduma hii wanafahamu hiloKuna watu hadi leo mnaweka Vocha za kukwangua? mbona mnavutana na sana nyuma na kasi ya Digitali?
Ndo ndani ndani huko kuna shida mkuuNaishi mbezi, ila hii nimekutana nayo mlandizi sokoni kabisa
Bei ya jumla ya vocha mitandao yote imepanda.Hata mimi hii ni mara ya kwanza kutaka hiyo huduma tangu mwaka jana sijanunua vocha cash, ndiyo maana hii ikanishtua, nikadhani labda watumiaji wa huduma hii wanafahamu hilo