PACHOTO
JF-Expert Member
- Dec 30, 2011
- 1,321
- 973
Wakuu habari za sikukuu ya nane nane
Wakuu kama mnavyofahamu hali ya maisha awamu hii ya gwala imezidi kuwa ngumu, sasa mimi nawazia njia ya kupata vocha ambayo iko dukani haijauzwa lakini nizipate namba zake, nitakachokifanya ni kwamaba nanua vocha moja ya buku tano, halafu nataka kujaribu kutumia Permutation na Combination niweze kupata namba ya vocha zinazofuata, sasa wadau je nikianza na mazoezi ya WAGAGIGIKOKO nitafanikiwa kwenye mission hii?