Vocha mpya

Vocha mpya

PACHOTO

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2011
Posts
1,321
Reaction score
973
Wakuu habari za sikukuu ya nane nane

Wakuu kama mnavyofahamu hali ya maisha awamu hii ya gwala imezidi kuwa ngumu, sasa mimi nawazia njia ya kupata vocha ambayo iko dukani haijauzwa lakini nizipate namba zake, nitakachokifanya ni kwamaba nanua vocha moja ya buku tano, halafu nataka kujaribu kutumia Permutation na Combination niweze kupata namba ya vocha zinazofuata, sasa wadau je nikianza na mazoezi ya WAGAGIGIKOKO nitafanikiwa kwenye mission hii?
 
Una elimu gan Na kiwango cha mathematics kichwan kwako?
 
ingekuwa rahsi hvyo kama unavyofikiria wAliosoma PCM nA EGM wasngenunua vochA
 
Mkuu huo ni wizi. Usije kujaribu kaka.

Huenda ukajiuliza,watajuaje? Mteja akinunua vocha alafu akakuta imetumika atapiga simu Huduma kwa wateja wa mtandao husika. Bahati nzuri au mbaya mitandao husika hutunza kumbukumbu za aliyetumia vocha tajwa.

Huduma kwa wateja wakipigiwa simu Mara nyingi na namba yako ikawa tracked kwamba ndiyo inahusika Mara nyingi,basi hakika watakukmata.
 
Acha kumtisha mtu anayetaka kutumia akili yake na kile alichofundshwa darasani, kijana niPM nkupe maujuzi zaidi ila uwe tayari kuishi mahali salama.

Hii nchi sijui inatatizo gani, katika hizi taasisi za elimu mda mwingine tunafundishwa na njia za ujanja ujanja za kuweza kukuweka mjini, ukiamua kukaa kimya unaitwa kilaza na ukianza kuonesha maarifa yako(mfano michezo flan flan ya kimitandao) unaonekana haini.... Daaaah ila tutafika tu.
 
Hata ukifanikiwa mbona rahisi sana kukamatwa!
 
Back
Top Bottom