Huyo demu wako anaelimu kiasi gani juu ya somo la hisabatiM
Mkuu sijasoma hisabati ila kuna demu wangu huwa anakujaga geto kufanya individiual assignment
kitamshinda nn?ingekuwa rahsi hvyo kama unavyofikiria wAliosoma PCM nA EGM wasngenunua vochA
HahahahahahahahaNina certificate ya maendeleo ya jamii
Hisabati ya nini mkuu. Yeye anajua topic moja tu ya permutation na combination. Na ndo anataka kuiapplyUmesoma hisabati kasi gani mkuu
Acha kumtisha mtu anayetaka kutumia akili yake na kile alichofundshwa darasani, kijana niPM nkupe maujuzi zaidi ila uwe tayari kuishi mahali salama.Mkuu huo ni wizi. Usije kujaribu kaka.
Huenda ukajiuliza,watajuaje? Mteja akinunua vocha alafu akakuta imetumika atapiga simu Huduma kwa wateja wa mtandao husika. Bahati nzuri au mbaya mitandao husika hutunza kumbukumbu za aliyetumia vocha tajwa.
Huduma kwa wateja wakipigiwa simu Mara nyingi na namba yako ikawa tracked kwamba ndiyo inahusika Mara nyingi,basi hakika watakukmata.