Inawezekana muda huu uko mahala unatamani kuongeza salio lakini mchana ulisha-wipe tigopesa/mpesa yote na duka la Mangi ameshafunga.
I got you my nigha... hii hapa vocha ya buku mtandao wa Tigo
529267639419399
Imagine ni watu wangapi wamepita huu uzi wakidhani ni utani,
You are welcome [emoji4]View attachment 1312613
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu tunauliza kwenye kampuni hiyo vocha imetumika na namba ipi ya simu tunadaka namba zako fasta
Haha haya mkuu..
Asante mkuu nimeikosa!!!
Kesho weka Voda tunatumia simu kadi mbili...tuwekee ya Voda tulipe madeni yetu ya nipige tafu.
Insha Allah uweke ya buku tujisomeee!!!Hahah madeni ya nipige tafu hatari sana... bila shaka mkuu. Kesho usicheze mbali
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea kwa machungu sanaMbona vocha imeshatumika kiongozi? Halafu haujafanya usawa kabisa. Ulitakiwa utoe namba 1 mwishoni yaani hiyo 9 isingekuwepo ili mtu acheze na bahati yake.
Sauti ina kwaruza flani, I like it [emoji12]kumbe kuongea na kuandika yana maana sawa? Nilikuwa sijui hili.
Kwahiyo, bibie umesikia sauti yangu naongea?