Vocha ya bure Voda

Nothing goes for nothing.
Utakua umepewa maelekezo na mganga wewe. HAKUNA ASIYEKUJUA ATAKAYEKUPA CHA BURE.
 
Kwani huna ndugu wa karibu uliye na uhusiano mzuri naye hadi hii vocha uitupe njia panda? Ushindwe
 
Jana niliweka vocha ya Tigo, kuna mwenzako akaja na mawazo kama yako.
Nikamwambia kwamba nyinyi ndio aina ya watu mkikuta elfu kumi imedondoka njiani hamuokoti ati mnaogopa ni "hela za majini"

Pole sana mkuu.

Wenzako hata tukikuta nazi imevunjwa njia panda, tunaichukua tunaenda kupikia ubwabwa.
Nothing goes for nothing.
Utakua umepewa maelekezo na mganga wewe. HAKUNA ASIYEKUJUA ATAKAYEKUPA CHA BURE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…