Vocha ya sh 1000 kuuziwa 1200 inatafsiri nini!

Lububi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
2,158
Reaction score
3,808
Kifupi mtaan vocha zimepanda 10% katika kununua na sio kwenye label. NIjuavyo vocha na pesa taslim ni kitu kile kile tofaut na bidhaa nyingine. Kwamba natumia elfu 2000 taslim kubadilishana na elf 2000 digital.
nilitarajia kama watu wa bei wameridhia bas vocha isomeke ni ya 2200.
Kwani nini kimebadirika tena kwa wauzaji wa ndan ya dar?
Najilaum kutokuwa kati ya watoa maamuzi Tanzania. Hii nchi anybody can manage it for his own good
 
🤔🤔🤔Tutafika kweli
 
Wenzio tunaweka salio kwa mpesa, Wewe unanunua vocha ili uweke salió?

Kupigwa ni haki yako 😂😂
 
Ni sawa kabisa.

Huko vijijini wanaenda miji midogo wanauziwa vocha Tsh 1,000. Ili naye apate faida basi kwenye Vocha ya 500 wanauza 600 na ya 1,000 wanauza 1,200.

Ukitaka tia hela kwenye simu yako. Uwe unajinunulia kwa bei ya chini.
 
Kifupi mtaan vocha zimepanda 10% katika kununua na sio kwenye label. NIjuavyo vocha na pesa taslim ni kitu kile kile tofaut na bidhaa nyingine. Kwamba natumia elfu 2000 taslim kubadilishana na elf 2000 digital.
nilitarajia kama watu wa bei wameridhia bas vocha isomeke ni ya 2200.
Kwani nini kimebadirika tena kwa wauzaji wa ndan ya dar?
Najilaum kutokuwa kati ya watoa maamuzi Tanzania. Hii nchi anybody can manage it for his own good

Si huko pekee yake hadi arusha jana nimeenda dukani nimeuziwa hiyo bei nikarudisha nikijua napigwa nam nauliza serikali inafanya kazi gani
 
"Huo muda mnaotumia kulalamika bei za vocha mngeutumia kufanya mambo mengine,serikali ipo bize kuandaa utaratibu wa kuwakopesha watanzania smartphone" alisikika jamaa mmoja kutoka mtama huko twita.
 
Itukopeshe na bundle
 
Hadi mjini nje ya wakala ni 1100
Ni sawa kabisa.

Huko vijijini wanaenda miji midogo wanauziwa vocha Tsh 1,000. Ili naye apate faida basi kwenye Vocha ya 500 wanauza 600 na ya 1,000 wanauza 1,200.

Ukitaka tia hela kwenye simu yako. Uwe unajinunulia kwa bei ya chini.
 
Kifupi mtaan vocha zimepanda 10% katika kununua na sio kwenye label. NIjuavyo vocha na pesa taslim ni kitu kile kile tofaut na bidhaa nyingine. Kwamba natumia elfu 2000 taslim kubadilishana na elf 2000 digital.
nilitarajia kama watu wa bei wameridhia bas vocha isomeke ni ya 2200.
Kwani nini kimebadirika tena kwa wauzaji wa ndan ya dar?
Najilaum kutokuwa kati ya watoa maamuzi Tanzania. Hii nchi anybody can manage it for his own good
Dar kubwa mkuu baadhi ya viunga via dar vitu bei juu zaidi ya sumbawanga
 
Wapi huko mkuu vocha ya buku ni 1200?
Nimezoea kijijini kwetu vocha ni bei hiyo, ila kwa mjini sijaona
Usishangae baadhi ya sehemu dar maisha juu kuliko huko kijijini vitu vianazalishwa hapo lakini bei yake bora ya tarime ajabu hao watu wa mikoani wananunulua bizaa hizo dar
 
Tumia tigopesa,mpesa,halopesa n.k wakati unasubiria majibu
 
Back
Top Bottom