Johnson Fundi
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 1,386
- 1,207
zimepanda, nenda leo uoneWapi huko mkuu vocha ya buku ni 1200?
Nimezoea kijijini kwetu vocha ni bei hiyo, ila kwa mjini sijaona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
zimepanda, nenda leo uoneWapi huko mkuu vocha ya buku ni 1200?
Nimezoea kijijini kwetu vocha ni bei hiyo, ila kwa mjini sijaona
No the price imeshoot countrywideDar kubwa mkuu baadhi ya viunga via dar vitu bei juu zaidi ya sumbawanga
Wapi huko zilipopanda bei?zimepanda, nenda leo uone
Hadi leo mnanunua vocha za kukwangua? Mtandao wako hauna zile mpesa na tigo pesa? Mkikaza hivyo hawatouza bei za kijinga. Hata kama huna hela nenda na buku zako mwambie wakala akuwekee mambo yasiwe mengiKifupi mtaan vocha zimepanda 10% katika kununua na sio kwenye label. NIjuavyo vocha na pesa taslim ni kitu kile kile tofaut na bidhaa nyingine. Kwamba natumia elfu 2000 taslim kubadilishana na elf 2000 digital.
nilitarajia kama watu wa bei wameridhia bas vocha isomeke ni ya 2200.
Kwani nini kimebadirika tena kwa wauzaji wa ndan ya dar?
Najilaum kutokuwa kati ya watoa maamuzi Tanzania. Hii nchi anybody can manage it for his own good
tanzania bara. mi nipo geita jana nimenunua ikiwa na ongezeko hilo.Wapi huko zilipopanda bei?
Tumia tigopesa,mpesa,halopesa n.k wakati unasubiria majibu
tatizo tunajadiri bei ya vocha kama bidhaa nyingine.Ni kweli bei ya jumla vocha zimepanda kutoka sh.950 hadi sh.985 na sh.470 hadi sh.490,hebu niambie kwa muuzaji wa rejareja auze sh.ngapi?
Nape bhanaHuo ni uzushi hauna ukweli wowote