🤔🤔🤔Tutafika kweliKifupi mtaan vocha zimepanda 10% katika kununua na sio kwenye label. NIjuavyo vocha na pesa taslim ni kitu kile kile tofaut na bidhaa nyingine. Kwamba natumia elfu 2000 taslim kubadilishana na elf 2000 digital.
nilitarajia kama watu wa bei wameridhia bas vocha isomeke ni ya 2200.
Kwani nini kimebadirika tena kwa wauzaji wa ndan ya dar?
Najilaum kutokuwa kati ya watoa maamuzi Tanzania. Hii nchi anybody can manage it for his own good
Wenzio tunaweka salio kwa mpesa, Wewe unanunua vocha ili uweke salió?Kifupi mtaan vocha zimepanda 10% katika kununua na sio kwenye label. NIjuavyo vocha na pesa taslim ni kitu kile kile tofaut na bidhaa nyingine. Kwamba natumia elfu 2000 taslim kubadilishana na elf 2000 digital.
nilitarajia kama watu wa bei wameridhia bas vocha isomeke ni ya 2200.
Kwani nini kimebadirika tena kwa wauzaji wa ndan ya dar?
Najilaum kutokuwa kati ya watoa maamuzi Tanzania. Hii nchi anybody can manage it for his own good
Kifupi mtaan vocha zimepanda 10% katika kununua na sio kwenye label. NIjuavyo vocha na pesa taslim ni kitu kile kile tofaut na bidhaa nyingine. Kwamba natumia elfu 2000 taslim kubadilishana na elf 2000 digital.
nilitarajia kama watu wa bei wameridhia bas vocha isomeke ni ya 2200.
Kwani nini kimebadirika tena kwa wauzaji wa ndan ya dar?
Najilaum kutokuwa kati ya watoa maamuzi Tanzania. Hii nchi anybody can manage it for his own good
Itukopeshe na bundle"Huo muda mnaotumia kulalamika bei za vocha mngeutumia kufanya mambo mengine,serikali ipo bize kuandaa utaratibu wa kuwakopesha watanzania smartphone" alisikika jamaa mmoja kutoka mtama huko twita.
Umeibiwa
Ni sawa kabisa.
Huko vijijini wanaenda miji midogo wanauziwa vocha Tsh 1,000. Ili naye apate faida basi kwenye Vocha ya 500 wanauza 600 na ya 1,000 wanauza 1,200.
Ukitaka tia hela kwenye simu yako. Uwe unajinunulia kwa bei ya chini.
ni za kweli.vocha zimepanda beihizi habari kama ni za kwelii twafaa.
Dar kubwa mkuu baadhi ya viunga via dar vitu bei juu zaidi ya sumbawangaKifupi mtaan vocha zimepanda 10% katika kununua na sio kwenye label. NIjuavyo vocha na pesa taslim ni kitu kile kile tofaut na bidhaa nyingine. Kwamba natumia elfu 2000 taslim kubadilishana na elf 2000 digital.
nilitarajia kama watu wa bei wameridhia bas vocha isomeke ni ya 2200.
Kwani nini kimebadirika tena kwa wauzaji wa ndan ya dar?
Najilaum kutokuwa kati ya watoa maamuzi Tanzania. Hii nchi anybody can manage it for his own good
Usishangae baadhi ya sehemu dar maisha juu kuliko huko kijijini vitu vianazalishwa hapo lakini bei yake bora ya tarime ajabu hao watu wa mikoani wananunulua bizaa hizo darWapi huko mkuu vocha ya buku ni 1200?
Nimezoea kijijini kwetu vocha ni bei hiyo, ila kwa mjini sijaona