Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kitu hutujaelewana hapo, namba yako naweza kuunganishwa tu hata kama hauna WhatsApp BT kama unaaccess ya WhatsApp utakua kwenye group ambalo wanatoa maelekezo yote namna yakununua muda wa.maongezi mitandao yote, vifurushi n.k, pia inapotokea ukakwama unaruhusiwa kuuliza wakala hapo na ukapata jibu mapema hiyo itakusaidia wewe sana katika kufanikisha adhma yako hiyo.kwa whatsapp?
nmeelewa ngoja nikupe pmKuna kitu hutujaelewana hapo, namba yako naweza kuunganishwa tu hata kama hauna WhatsApp BT kama unaaccess ya WhatsApp utakua kwenye group ambalo wanatoa maelekezo yote namna yakununua muda wa.maongezi mitandao yote, vifurushi n.k, pia inapotokea ukakwama unaruhusiwa kuuliza wakala hapo na ukapata jibu mapema hiyo itakusaidia wewe sana katika kufanikisha adhma yako hiyo.
Mpe hapa hapanmeelewa ngoja nikupe pm
Nadhani alifikiri amepatwa na bwana huyuHabari zenu wapenzi
poleni na majukumu ya kutwa nzima, Nauliza; nataka nianze kurusha vocha za airtel maeneo ninayoishi ,je nawezaje kujiunga na hio hudumu kwa line yangu ya Airtel ya kawaida.
Kama kuna mtu anafahamu process anifahamishe
Jiunge na mobistock, nipm namba yako ya whatsap
Hiyo huduma naichukia mnoJiunge na mobistock, nipm namba yako ya whatsap
Hii biashara ya kuuza vocha hasa za kurusha inalipa tena sana kama ukipata mzunguko mkubwa (nimeifanya) ila nakumbuka mara ya mwisho airtel walinikatalia kabisa kuniungia huduma hii kwenye line yangu (nilienda makao makuu arusha) na option walonipa ilikua na kutafuta line ya airtel money kabisaa nkaachana nao so sijajua kwa sasa ila tigo na voda inawezekana na ni rahisi tu (siunganishi na wala si wakala)Habari zenu wapenzi
poleni na majukumu ya kutwa nzima, Nauliza; nataka nianze kurusha vocha za airtel maeneo ninayoishi ,je nawezaje kujiunga na hio hudumu kwa line yangu ya Airtel ya kawaida.
Kama kuna mtu anafahamu process anifahamishe
tigo wameshaniunganisha onlineHii biashara ya kuuza vocha hasa za kurusha inalipa tena sana kama ukipata mzunguko mkubwa (nimeifanya) ila nakumbuka mara ya mwisho airtel walinikatalia kabisa kuniungia huduma hii kwenye line yangu (nilienda makao makuu arusha) na option walonipa ilikua na kutafuta line ya airtel money kabisaa nkaachana nao so sijajua kwa sasa ila tigo na voda inawezekana na ni rahisi tu (siunganishi na wala si wakala)
Wanaweza tena wana kamisheni kubwa kuliko tigo... Tigo unapanda taratibu.. All the besttigo wameshaniunganisha online
Sasa vodacom wanaweza niunganisha online?