Vocha za kurusha za Airtel; Je, nawezaje kujiunga na hio hudumu kwa line yangu ya Airtel ya kawaida?

Vi rendra

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
3,271
Reaction score
5,617
Habari zenu wapenzi
poleni na majukumu ya kutwa nzima, Nauliza; nataka nianze kurusha vocha za airtel maeneo ninayoishi ,je nawezaje kujiunga na hio hudumu kwa line yangu ya Airtel ya kawaida.
Kama kuna mtu anafahamu process anifahamishe
 
Niko Dar tena mjini tu ila geografia ya eneo nnaloishi linanifanya nizihitaji
 
Jiunge na mobistock, nipm namba yako ya whatsap
 
kwa whatsapp?
Kuna kitu hutujaelewana hapo, namba yako naweza kuunganishwa tu hata kama hauna WhatsApp BT kama unaaccess ya WhatsApp utakua kwenye group ambalo wanatoa maelekezo yote namna yakununua muda wa.maongezi mitandao yote, vifurushi n.k, pia inapotokea ukakwama unaruhusiwa kuuliza wakala hapo na ukapata jibu mapema hiyo itakusaidia wewe sana katika kufanikisha adhma yako hiyo.
 
nmeelewa ngoja nikupe pm
 
Habari zenu wapenzi
poleni na majukumu ya kutwa nzima, Nauliza; nataka nianze kurusha vocha za airtel maeneo ninayoishi ,je nawezaje kujiunga na hio hudumu kwa line yangu ya Airtel ya kawaida.
Kama kuna mtu anafahamu process anifahamishe
Nadhani alifikiri amepatwa na bwana huyu
 
Jiunge na mobistock, nipm namba yako ya whatsap
Hiyo huduma naichukia mno
Nilikuwa nayo nikaacha kidogo Nimekuja kujaribu tena INAGOMA
Nikamwambia aliyeniunganisha akasema nirudie tena Kutoa hela ya kuunganishwa
Nikaona Kumbe ni Janja janja
 
wakati unayo haikukusumbua?
 
Habari zenu wapenzi
poleni na majukumu ya kutwa nzima, Nauliza; nataka nianze kurusha vocha za airtel maeneo ninayoishi ,je nawezaje kujiunga na hio hudumu kwa line yangu ya Airtel ya kawaida.
Kama kuna mtu anafahamu process anifahamishe
Hii biashara ya kuuza vocha hasa za kurusha inalipa tena sana kama ukipata mzunguko mkubwa (nimeifanya) ila nakumbuka mara ya mwisho airtel walinikatalia kabisa kuniungia huduma hii kwenye line yangu (nilienda makao makuu arusha) na option walonipa ilikua na kutafuta line ya airtel money kabisaa nkaachana nao so sijajua kwa sasa ila tigo na voda inawezekana na ni rahisi tu (siunganishi na wala si wakala)
 
tigo wameshaniunganisha online
Sasa vodacom wanaweza niunganisha online?
 
Back
Top Bottom