Nkarahacha
Member
- Oct 3, 2023
- 17
- 38
Kwa Sasa watumiaji wa simu za mkononi mkoani Kagera wamekumbana na tatizo la baadhi ya wafanyabiashara kupandisha bei ya vocha za simu za mikononi.
Vocha ya 500 Sasa inauzwa 600 na vocha ya 1000 Sasa inauzwa 1200 kwenye baadhi ya maduka huku baadhi ya wafanyabiashara wakidai mawakala nao wamepandisha bei za jumla.
Ninachojiuliza serikali inalifahamu hili? Je,Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA wanalifahamu hili? Je,makampuni ya simu za mkononi yanalifahamu hili?
Mamlaka ziingilie kati maana watumiaji wa simu za mkononi wanapitia wakati ngumu!
Pia soma > Tatizo la bei za vocha latua TCRA
Pia soma: