DOKEZO Vocha za Mitandao ya simu zadaiwa kupandisha bei kiholela Mbozi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Naona upepo umebadilika kabisa kwa members kumshambulia mleta mada kwa kua too manual and not auto, then hoja yake ya msingi imemezwa ghafla...tehπŸ˜‚
 
Ukinunua vocha kama hiyo umeamua kujidhulumu mwenyewe,utanunuaje kitu cha thamani fulani ambayo imeandikwa kabisa kwa bei ya juu!
 
Ila umesema nn? [emoji23][emoji23][emoji23]
Narudia nimesema ukijiona unaweka vocha za kukwangua ujue upo kwenye kundi la watu masikini.

Tajiri hana muda wa kukwangua vocha. Na kuingiza namba moja moja za vocha

Alafu umasikini sio dhambi coca......
 
Hii niliikuta Kibosho pia πŸ˜…, Vocha imeandikwa 500 jamaa wa duka anauza 600 na ishakuwa kawaida tu kama hutaki inakubidi uchomoke bush hai town sasa utachagua uongeze 100 au upande boda ya 1000 πŸ˜…
 
Lazima zipande kwani sasa meli zinapitia South Africa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…