Wikiliki JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 528 Reaction score 141 Jun 19, 2014 #1 Jamani wadau wa jf vocha za tcu kwa ajili ya kujiunga vyuo vikuu zinapatika benki gani mwaka huu 2014.
Jamani wadau wa jf vocha za tcu kwa ajili ya kujiunga vyuo vikuu zinapatika benki gani mwaka huu 2014.
Wikiliki JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 528 Reaction score 141 Jun 19, 2014 Thread starter #2 Wadau mbona kimya.
M majitta one JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 204 Reaction score 14 Jun 19, 2014 #3 Nbc kwa watu wa form six. Na kwa wale wa diploma unalipia through m-pesa.
M majitta one JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 204 Reaction score 14 Jun 19, 2014 #4 Ila kwa form six hadi matokeo yatoke ndipo vocha zianze kuuzwa