Tetesi: Voda

Tetesi: Voda

Hili nalo linahitaji Uzi, Jeiefu inaelekea wapi mods..??
 
Hili nalo linahitaji Uzi, Jeiefu inaelekea wapi mods..??
Hauwafahamu voda nini, wana bundle za ajabu sana, bei kubwa huduma ndogo.
Kwahiyo walau kidogo inakupasa mtu ujaribu huku na kule pengine huenda kuna conection zaidi za kukufanya upate bundle safi.
Mfano mimi hapa nina 1,500 natafuta bundle nzuri ya intaneti kwa bei hiyo lakini sioni.
Kwahiyo mleta uzi yuko sahihi
 
Njooni TTCL bando za intanet angalau zinaridhisha....pia sio mb zao haziishi kwa mazingaombwe kama voda...

Maana voda unaweza nunua kifurushi cha intaneti uka peruuuuuzi kidogo tu ukaletewa ujumbe mb zako ni chini ya 50
 
Sina option inanibidi ninunue bando za 2000 daily kwa 1234 mb sababu nilipo ni voda tu ndo inakamata tena mwendo mzuri
 
TTCL BANDLE YAO.NZURI ILA HAWANA 4g na speed kuna time ni ndogo kuna badle 1000 4gb 500mb mchana 3.5gb kuanzia saa2 usiku

kama unataka download usiku iko poa unaarange downloaded items ukiwa na ADVANCED DOWNLOAD MANAGAER APK IKIFIKA SAA MBILI inangoa koki inadownload
 
Linapokuja swala la vifurushi vya intaneti voda ni mtandao wa ki boss, sababu vifurushi vipo juu halafu net ya uhakika..
 
Tafuta line ya Halotel Royal bundle. Unalipia elfu kumi kwa mwezi wana kupa unlimited internet mwezi mzima. Ila speed ina kuwa kwenye 3.5GB za mwanzo baada ya hapo wana punguza
 
Cha kufia nini?
Screenshot_20190831-100440.jpeg
 
TTCL WANAYO 4G BHANA

Back
Top Bottom