Mtupi Danny
Member
- Jan 4, 2019
- 35
- 2
vifurush gan vizur va internet
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hauwafahamu voda nini, wana bundle za ajabu sana, bei kubwa huduma ndogo.Hili nalo linahitaji Uzi, Jeiefu inaelekea wapi mods..??
Njooni TTCL bando za intanet angalau zinaridhisha....pia sio mb zao haziishi kwa mazingaombwe kama voda...Hauwafahamu voda nini, wana bundle za ajabu sana, bei kubwa huduma ndogo.
Kwahiyo walau kidogo inakupasa mtu ujaribu huku na kule pengine huenda kuna conection zaidi za kukufanya upate bundle safi.
Mfano mimi hapa nina 1,500 natafuta bundle nzuri ya intaneti kwa bei hiyo lakini sioni.
Kwahiyo mleta uzi yuko sahihi
Una kazi gani ya maana Tz?Sina option inanibidi ninunue bando za 2000 daily kwa 1234 mb sababu nilipo ni voda tu ndo inakamata tena mwendo mzuri
Muulize hizo mb anazifanyia kazi gani, ukute anashinda anaangalia kurasa za kina wema insta!Una kazi gani ya maana Tz?
nabet mkuu kufatilia mambo live zaidiUna kazi gani ya maana Tz?
TTCL BANDLE YAO.NZURI ILA HAWANA 4g na speed kuna time ni ndogo kuna badle 1000 4gb 500mb mchana 3.5gb kuanzia saa2 usiku
kama unataka download usiku iko poa unaarange downloaded items ukiwa na ADVANCED DOWNLOAD MANAGAER APK IKIFIKA SAA MBILI inangoa koki inadownload
Ya chuo ama?Cha kufia nini?View attachment 1194009
Sio ya chuo, hiyo unaipata kwenye menu ya halopesaYa chuo ama?