Saa kumi na moja
Member
- Nov 8, 2017
- 59
- 63
Mtandao wa vodacom 4G unapotumia intaneti inasababisha simu kupata joto kali sana lisilokuwa la kawaida
Hii hali nimegundua muda nikajua tatizo ni simu yangu kumbe sio Tatizo ni mtandao wa 4G wa Vodacom
Itakuwa vizuri wakirekebisha hili tatizo. Halotel natumia ila ipo vizuri 4G yake haisababishi simu kupata joto kali
VIPI wadau kuna mtu kapatwa na tatizo kama hili?