Saa kumi na moja
Member
- Nov 8, 2017
- 59
- 63
Kuna mambo mengi hapo kamaMtandao wa vodacom 4G unapotumia intaneti inasababisha simu kupata joto kali sana lisilokuwa la kawaida
Hii hali nimegundua muda nikajua tatizo ni simu yangu kumbe sio Tatizo ni mtandao wa 4G wa Vodacom
Itakuwa vizuri wakirekebisha hili tatizo. Halotel natumia ila ipo vizuri 4G yake haisababishi simu kupata joto kali
VIPI wadau kuna mtu kapatwa na tatizo kama hili?
Namba moja Ndio kisababishiKuna mambo mengi hapo kama
1. Signal zipo chini za Voda kupelekea simu kila saa ina search network.
2. Speed ya Voda ni kubwa una background tasks nyingi hivyo kupelekea kudownload vitu vingi kwa mpigo
Ungesema unatumia simu gani mkuu, Ili tukushauri kama utafute simu nyingine au lah, usichore conclusion bila data ambazo ni valid.Mtandao wa vodacom 4G unapotumia intaneti inasababisha simu kupata joto kali sana lisilokuwa la kawaida