Hawa Vodacom wanajifanya wezi sana mara nyingi tu utakuta ukituma SMS its not delivered inakaa pending kwenye server zao afu wewe mtumaji hupati delivery confirmation then ukijaribu to re-send the same txt message after a while message zote mbili zinaenda yani ile ya mwanzo iliyogoma na ya pili uliyo re-send zote zinaenda na unachajiwa twice!!!! huu sio ustaarabu kabisa naomba mrekebishe hii issue....
Mkuu umeshawahi kujiuliza ni kwa nini unatumia mtandao ambao unao sasa? Iwe Voda, Tigo any, Kwamba unachopata katika mtandao ulioko nao huwezi pata katika mitandao mingine? Nilikuwa Voda nikajiuliza maswali hayo nikakata shauri nikaachana nao
Gharama zao ziko juu, both Voice and data
So for voice nikaamua kuchukua Tigo na data nikachukua Zantel, Voda nimeshaachana nayo Longtime mkuu