VODACOM Acheni Huu Wizi

VODACOM Acheni Huu Wizi

Arsenal

Senior Member
Joined
Aug 12, 2008
Posts
190
Reaction score
71
Hawa Vodacom wanajifanya wezi sana mara nyingi tu utakuta ukituma SMS its not delivered inakaa pending kwenye server zao afu wewe mtumaji hupati delivery confirmation then ukijaribu to re-send the same txt message after a while message zote mbili zinaenda yani ile ya mwanzo iliyogoma na ya pili uliyo re-send zote zinaenda na unachajiwa twice!!!! huu sio ustaarabu kabisa naomba mrekebishe hii issue....
 
mlishaambiwa achaneni na hilo likampuni hamsikii
ENDELEENI KUIBIWA
RA on DUTY
 
Hawa Vodacom wanajifanya wezi sana mara nyingi tu utakuta ukituma SMS its not delivered inakaa pending kwenye server zao afu wewe mtumaji hupati delivery confirmation then ukijaribu to re-send the same txt message after a while message zote mbili zinaenda yani ile ya mwanzo iliyogoma na ya pili uliyo re-send zote zinaenda na unachajiwa twice!!!! huu sio ustaarabu kabisa naomba mrekebishe hii issue....

Mkuu umeshawahi kujiuliza ni kwa nini unatumia mtandao ambao unao sasa? Iwe Voda, Tigo any, Kwamba unachopata katika mtandao ulioko nao huwezi pata katika mitandao mingine? Nilikuwa Voda nikajiuliza maswali hayo nikakata shauri nikaachana nao

Gharama zao ziko juu, both Voice and data

So for voice nikaamua kuchukua Tigo na data nikachukua Zantel, Voda nimeshaachana nayo Longtime mkuu
 
Jaribu kuwatega na simu kwa kuwapigia customer care ingawaji upatikanaji wao ndio shida. Ila kikubwa ni kuchukuwa mtandao ambao utakidhi mahitaji yako. Kama voda wanakufanyia hivyo kwa nini usihamie sehemu nyingine au mzee unalipiwa na kampuni gharama za simu. Hiyo hela ya sms kwa mwaka ni nyingi sana. Na ndio wenzako wanatengeneza fwedha hivyo. kwanza SMS inatakiwa iwe bure nashangaa bado wanajidai sijui kuwachaji watu hela kibao wakati hiyo haigharimu chochote
 
Halafu kuna wizi mwingine huu unafanyika na makampuni yote, unatuma meseji haiendi lakini wao wanakata pesa, lakini vodacom bwana wamezidi inabidi kweli kuachana nao.
 
Mkuu umeshawahi kujiuliza ni kwa nini unatumia mtandao ambao unao sasa? Iwe Voda, Tigo any, Kwamba unachopata katika mtandao ulioko nao huwezi pata katika mitandao mingine? Nilikuwa Voda nikajiuliza maswali hayo nikakata shauri nikaachana nao

Gharama zao ziko juu, both Voice and data

So for voice nikaamua kuchukua Tigo na data nikachukua Zantel, Voda nimeshaachana nayo Longtime mkuu

Mimi ni kama wewe nina namba nzuri sana ya voda lakini nimekoma kuitumia yapata miaka minne sasa...... Hakuna kampuni yenyegharama kubwa kama voda Tanzania na sio kweli eti wao ndio leading network in TZ as wao wanahesamu activated numbers na sio active numbers kama zain. Zain usipoitumia namba yako kwa muda fulani wanaifuta ila hawa wajamaa wao hata ile niliokoma kuitumia miaka minne nyuma wanahesabu wanamteja. Hii inakuja kuleta figures kubwa ya wateja lakini ki ukweli ni kwamba najua hii kampuni inazidiwa hata na tiGO
 
Hawa Vodacom wanajifanya wezi sana mara nyingi tu utakuta ukituma SMS its not delivered inakaa pending kwenye server zao afu wewe mtumaji hupati delivery confirmation then ukijaribu to re-send the same txt message after a while message zote mbili zinaenda yani ile ya mwanzo iliyogoma na ya pili uliyo re-send zote zinaenda na unachajiwa twice!!!! huu sio ustaarabu kabisa naomba mrekebishe hii issue....

Voda ni moja ya kampuni zinazoheshimika sana Afrika. Lakini VodaCom Tanzania wamejiroga sehemu moja tu......................................

Kushirikiana na "MCHWA WA KIHINDI".
 
Kubaki Voda ni sawa na kuongelea suala la Azimio la Arusha mnakumbuka Mwalimu alisemaje?
 
Back
Top Bottom