Board member
Senior Member
- Sep 24, 2021
- 107
- 248
Yaani bora nawewe umelisemea Mimi sahizi siwezi nunua vocha ya kukwangua wala airtime yakawaida nikiweka tu unakuta mia hakuna sasa nimeweka airtime elf 2000 mnakata mia 100 nitaiongezea wapi? Voda wanakera kila nikipiga eti sijui umejiunga nini mara labda nipige tafu mie nimejiunga lini? Nikipata muda nitawafuata hapo hapo kwao waniambie, mpawa nimeacha kuweka ukiweka tu ukija kuzitoa zimepungua wapuuzi kabisaHabari.
Imekua mchezo wenu uliozoeleka siku hizi. Kila nikiweka airtime kabla sijaunga kifurushi lazima mukate kiasi, hali hii inafanya nishindwe kujiunga na package niliyokusudia hadi niongeze airtime nyingine. Nikiwapigia mnasema mara nimejiunga na huduma gani sijui,, wakati mimi sijawahi kujiunga na huduma yoyote kati ya huduma zenu za kipuuzi ambazo kutwa hamuachi kunihamasisha kujiunga nazo.
Tabia hii inakera sana coz inaniharibia bajeti zangu hadi nafikiria kuhama kwenye mtandao wenu.
Natoa wito,, acheni huu utapeli!!
Mie sijiungi hivyo vitu na sitaki kuna kipindi nilikuwa nikiweka MB duu nikifungua GB yangu what's app dakiki ngapi haipo nikawafuata waangalie kitu gani kinakula hamna kitu nikauliza sasa anazikomba nani? Ikabidi niache kwa muda kutumiaSitisha huduma ya "matumizi bila bando" kwenye line yako