Vodacom Bulk sms

Vodacom Bulk sms

Joseph Ludovick

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
364
Reaction score
468
Vodacom Tanzania
Tafadhali, nime subscribe kifurushi cha sms 10,000 kwa sababu ninahitaji kutuma sms kwa watu wengi..ajabu nikituma msg chache tu mtandao unablock.

Naambiwa mpaka niombe huduma ya kutuma bulk sms. Niliponunua msg zote hizo hapakuwa na msg ya alert kuwa nahitaji kuapply tena bulk sms.

Naomba kama kuna mhusika afanyie kazi namba yangu iungwe bulk sms mara. Vinginevyo nitaanza kulalamika.
L
eoleo nataka kutumia sms nilizolipia.
Namba yangu ni 0764222272
 
Sikuhizi utapeli mwingi, naona toka mchezo wa "tuma kwa namba hii" ulivyoshika kasi, na wenyewe wamekuwa strictly sana
 
Back
Top Bottom