VODACOM, hii ni hujuma na siyo kuboresha huduma

VODACOM, hii ni hujuma na siyo kuboresha huduma

Glenn

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2015
Posts
69,329
Reaction score
164,730
Inawezekanaje huduma za;
1. Kupiga simu zisiwepi
2. Internet isiwepo
3. Sms ziwepo
4. Mpesa hakuna nk?
Kwanini msiboreshe kwa zamu?

Mnajua kuwa simu;
1. Huokoa maisha?
2. Internet ni ofisi za watu?
Je mnafidia walaji kitu gani au mtaishia kuomba radhi?

Wahuni nyie

(Tutaboresha mifumo yetu leo kuanzia saa 5 usiku-11 alfajiri.Huduma za intaneti,kupiga simu,SMS,kununua vifurushi,benki na kubeti hazitopatikana. Tunaomba radhi kwa usumbufu.)
 
Mbona nimetoka kufanya muamala wa voda bila tatizo, mida ya mechi ya ubaya ubwela ndo walikua wanazingua mpesa ilikua chini
 
Mbona nimetoka kufanya muamala wa voda bila tatizo, mida ya mechi ya ubaya ubwela ndo walikua wanazingua mpesa ilikua chini
Umesoma kiambatanisho?
 
Huduma ya vodacom imekuwa mbovu sana kwasasa.... Simu zinapatikana kwa shida.... Internet ipo slow kuliko kawaida licha kuwa inasoma 4G... Sijui shida nini?
 
Back
Top Bottom