Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Asubuhi nlikuwa naunga bando Tigo ikawa inakataa, imebidi nitumie Airtel
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikisikia neno tigo najisikia vibayaKwanini 🤣🤣
Ahh wanazingua 🤣🤣Nikisikia neno tigo najisikia vibaya
Katika wahuni wote, voda ndo mwenye nafuu!
Hiyo sms kwangu wametuma saa 5 kasoro dakika 4, nikajisemea kwanini wasitoe taarifa mapema watu tujipange
Say againVoda haina mpinzani
Well its more than 2 months now!Yes, ukweli ni kwamba wana huduma bora lkn wameanza kuharibu