VODACOM, hii ni hujuma na siyo kuboresha huduma

Katika wahuni wote, voda ndo mwenye nafuu!

Hiyo sms kwangu wametuma saa 5 kasoro dakika 4, nikajisemea kwanini wasitoe taarifa mapema watu tujipange
 
Katika wahuni wote, voda ndo mwenye nafuu!

Hiyo sms kwangu wametuma saa 5 kasoro dakika 4, nikajisemea kwanini wasitoe taarifa mapema watu tujipange
 
Attachments

  • XRecorder_19082024_122815.jpg
    82.3 KB · Views: 4
Sasa kuna hiyo huduma inaitwa mgodi. Watu tuna tunza / dunduliza vijisenti vyetu. Tokea ijumaa usiku hauwezi kuitoa hela kwenye mgodi kwenda mpesa. Na ukiwacheki hawana majibu yanayoeleweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…