Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Ofisi zao hapa Mbeya ziko wapi Sheikh?.Karibu Zantel Sheikh.
Hizi nishakutana nazo sana kwa hawa hawa voda na halotel, yani kuna muda unapata hasira la kufanya huna maana hawajali.Leo nimeletewa SMS kuwa bundle yangu imeisha, ilikua bundle ya week ya 3GB, nikajiunga tena, ghafla nikaletewa sms tena baada ya masaa matatu kuwa bundle limeisha. Nimepiga naona hatuelewani kabisa, mshawahi kukutana na scenario ndugu zangu? Sijadownload wala live streaming wala sija update chochote.... Kumbuka same bundle nimekua niikitumia kwa three to four days. vodacom support haman cutomer care kabisa
huko kwenu sasa hivi ni adhuhuri?Pold, sijawahi kupata hio experience ila nachoweza kusema, kilichotokea ni...
Hina tofauti na askari wa barabarani kipindi cha skukuu au shule kufunguliwa huwa wanatoa agizo nyumbani bandika maji natuma hela ya unga sasa hivi.
Tamk la shule kufunguliwa limetoka hivi punde, yaweza kuwa nao wanajribu kuminya data waziuze kwa wengine wapatepo kahela ka ada..... yawezekana ikawa ndivyo ama sivyo.
Adhuhuri njema.
Mimi imenikuta na inaendelea kunikuta.Leo nimeletewa SMS kuwa bundle yangu imeisha, ilikua bundle ya week ya 3GB, nikajiunga tena, ghafla nikaletewa sms tena baada ya masaa matatu kuwa bundle limeisha. Nimepiga naona hatuelewani kabisa, mshawahi kukutana na scenario ndugu zangu? Sijadownload wala live streaming wala sija update chochote.... Kumbuka same bundle nimekua niikitumia kwa three to four days. vodacom support haman cutomer care kabisa
Kabla hujawalaumu vodacom hakiki kifaa chako inawezekana ni system update uliruhusu hivyo kuna download inafanyikaLeo nimeletewa SMS kuwa bundle yangu imeisha, ilikua bundle ya week ya 3GB, nikajiunga tena, ghafla nikaletewa sms tena baada ya masaa matatu kuwa bundle limeisha. Nimepiga naona hatuelewani kabisa, mshawahi kukutana na scenario ndugu zangu? Sijadownload wala live streaming wala sija update chochote.... Kumbuka same bundle nimekua niikitumia kwa three to four days. vodacom support haman cutomer care kabisa
Leo nimeletewa SMS kuwa bundle yangu imeisha, ilikua bundle ya week ya 3GB, nikajiunga tena, ghafla nikaletewa sms tena baada ya masaa matatu kuwa bundle limeisha. Nimepiga naona hatuelewani kabisa, mshawahi kukutana na scenario ndugu zangu? Sijadownload wala live streaming wala sija update chochote.... Kumbuka same bundle nimekua niikitumia kwa three to four days. vodacom support haman cutomer care kabisa
Sio Mara moja kutumia hii bundle so I understand broKabla hujawalaumu vodacom hakiki kifaa chako inawezekana ni system update uliruhusu hivyo kuna download inafanyika.
Nitakua mgeni wao kuanzia Leo rasmi.Hamia halotel,mie siku hizi nimeshachoka vodacom na airtel
Huku halotel unapata GB 34 kwa elfu 30 tu mwezi mzima
Kuna makosa mengi hapo, hawa kutuma hata confirmation meseji sikuipata. Ushahidi huo hapo! Hivi hayo matumizi makubwa kiasi hicho yametoka wapi?Kabla hujawalaumu vodacom hakiki kifaa chako inawezekana ni system update uliruhusu hivyo kuna download inafanyika