Vodacom huu sio ustaarabu

Vodacom huu sio ustaarabu

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Leo nimeletewa SMS kuwa bundle yangu imeisha, ilikuwa bundle ya week ya 3GB, nikajiunga tena, ghafla nikaletewa sms tena baada ya masaa matatu kuwa bundle limeisha. Nimepiga naona hatuelewani kabisa, mshawahi kukutana na scenario ndugu zangu?.

Sijadownload wala live streaming wala sija update chochote.... Kumbuka same bundle nimekua niikitumia kwa three to four days.

vodacom support haman cutomer care kabisa.
 
Leo nimeletewa SMS kuwa bundle yangu imeisha, ilikua bundle ya week ya 3GB, nikajiunga tena, ghafla nikaletewa sms tena baada ya masaa matatu kuwa bundle limeisha. Nimepiga naona hatuelewani kabisa, mshawahi kukutana na scenario ndugu zangu? Sijadownload wala live streaming wala sija update chochote.... Kumbuka same bundle nimekua niikitumia kwa three to four days. vodacom support haman cutomer care kabisa
Hizi nishakutana nazo sana kwa hawa hawa voda na halotel, yani kuna muda unapata hasira la kufanya huna maana hawajali.
 
Pold, sijawahi kupata hio experience ila nachoweza kusema, kilichotokea ni...

Hina tofauti na askari wa barabarani kipindi cha skukuu au shule kufunguliwa huwa wanatoa agizo nyumbani bandika maji natuma hela ya unga sasa hivi.

Tamk la shule kufunguliwa limetoka hivi punde, yaweza kuwa nao wanajribu kuminya data waziuze kwa wengine wapatepo kahela ka ada..... yawezekana ikawa ndivyo ama sivyo.

Adhuhuri njema.
 
Ishanikuta kwa halotel hio bundle la night iliniuma balaa.
 
Pold, sijawahi kupata hio experience ila nachoweza kusema, kilichotokea ni...

Hina tofauti na askari wa barabarani kipindi cha skukuu au shule kufunguliwa huwa wanatoa agizo nyumbani bandika maji natuma hela ya unga sasa hivi.

Tamk la shule kufunguliwa limetoka hivi punde, yaweza kuwa nao wanajribu kuminya data waziuze kwa wengine wapatepo kahela ka ada..... yawezekana ikawa ndivyo ama sivyo.

Adhuhuri njema.
huko kwenu sasa hivi ni adhuhuri?

Capo Dei Capi
 
Leo nimeletewa SMS kuwa bundle yangu imeisha, ilikua bundle ya week ya 3GB, nikajiunga tena, ghafla nikaletewa sms tena baada ya masaa matatu kuwa bundle limeisha. Nimepiga naona hatuelewani kabisa, mshawahi kukutana na scenario ndugu zangu? Sijadownload wala live streaming wala sija update chochote.... Kumbuka same bundle nimekua niikitumia kwa three to four days. vodacom support haman cutomer care kabisa
Mimi imenikuta na inaendelea kunikuta.
 
Kabla hujawalaumu vodacom hakiki kifaa chako inawezekana ni system update uliruhusu hivyo kuna download inafanyika
 
Hamia halotel,mie siku hizi nimeshachoka vodacom na airtel

Huku halotel unapata GB 34 kwa elfu 30 tu mwezi mzima
 
Kabla hujawalaumu vodacom hakiki kifaa chako inawezekana ni system update uliruhusu hivyo kuna download inafanyika.
Sio Mara moja kutumia hii bundle so I understand bro
Hamia halotel,mie siku hizi nimeshachoka vodacom na airtel

Huku halotel unapata GB 34 kwa elfu 30 tu mwezi mzima
Nitakua mgeni wao kuanzia Leo rasmi.
 
Kabla hujawalaumu vodacom hakiki kifaa chako inawezekana ni system update uliruhusu hivyo kuna download inafanyika
Kuna makosa mengi hapo, hawa kutuma hata confirmation meseji sikuipata. Ushahidi huo hapo! Hivi hayo matumizi makubwa kiasi hicho yametoka wapi?
Screenshot_20200617-173730.png
Screenshot_20200617-173857.png
 
Back
Top Bottom