Vodacom, huu wema umeanza lini?

Vodacom, huu wema umeanza lini?

Mlenge

R I P
Joined
Oct 31, 2006
Posts
2,125
Reaction score
2,306
Vodacom, huu wema umeanza lini?

Leo nimeona push menu za USSD, zikiniuliza na hatimaye kuniwezesha kujitoa kwenye matumizi ya salio kulipia huduma za mtandao wa intaneti kutoka kwenye salio la kawaida. Kwa hiyo kuanzia leo, hata bando la GB likikata, salio la kawaida lililopo halitaguswa. Mulikwina? Jambo hili lilitakiwa mlitekeleze miaka mingi iliyopita.

 
Back
Top Bottom