Msafiri Kasian
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,133
- 661
Piga *149*01# alafu fuata mtiririko huu 7 - 9 - 2Umefanyaje fanyaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Piga *149*01# alafu fuata mtiririko huu 7 - 9 - 2Umefanyaje fanyaje?
ni haki yako iyo ambayo ni lazima upewe sio wema voda ni wepuuuzi tuNdio. Ghafla bin vuu Vodacom Tanzania wameanza kuonea huruma salio la kwenye simu. Zamani walikuwa wanalifyekelea mbali kabla ya kukuarifu kwamba bando limeisha; huku wakikuacha bila salio la kununulia bando lingine.
Vodacom, huu wema umeanza lini?
Leo nimeona push menu za USSD, zikiniuliza na hatimaye kuniwezesha kujitoa kwenye matumizi ya salio kulipia huduma za mtandao wa intaneti kutoka kwenye salio la kawaida. Kwa hiyo kuanzia leo, hata bando la GB likikata, salio la kawaida lililopo halitaguswa. Mulikwina? Jambo hili lilitakiwa mlitekeleze miaka mingi iliyopita.
Mitandao yote ina hiyo option kitambo sana tu!Airtel hii huduma wanayo muda mrefu tu
Wa kwanza kabisa kuleta hii walikua Airtel, mwaka jana ndo akaja voda hivi karibuni na tigo, Sema tigo usijidanganye.. Ukidhibiti tu basi wanakula salio maksudi kabisa na hautaweza kujiunga na kifurushi chochote kile hata kama una salio linaloendana na kifurushi husika...Vodacom, huu wema umeanza lini?
Leo nimeona push menu za USSD, zikiniuliza na hatimaye kuniwezesha kujitoa kwenye matumizi ya salio kulipia huduma za mtandao wa intaneti kutoka kwenye salio la kawaida. Kwa hiyo kuanzia leo, hata bando la GB likikata, salio la kawaida lililopo halitaguswa. Mulikwina? Jambo hili lilitakiwa mlitekeleze miaka mingi iliyopita.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] DaahMatterpel sana voda, mi wamekata salio langu kuwapigia wnadai nimetuma sms nje ya nchi. Nimeiweka line yao pembeni kwa sasa
Ya tigo salio linakatwa kama kawa,,, Jana wamekula 2000 yangu nzima, Kutoa machungu ikanibidi niruke nao hewani na kuwatukana sana mpaka hasira zikaisha, kuamka asubuhi ya leo nakuta wamenitext niwape imei ya kifaa changu na location nilipoHivi tigo nao wanayo hii?
Kama ilikuwepo kitambo basi haikuwa automatic kama airtel
Ila bado hii mitandao kunatatzo, mfano unapo hamisha pesa kutoka benki kuja kwenye mpesa au t pesa af ukakosea ikaja kama muda wa maongez hamna msaada wowote wanaweza kukupa. Isipokuwa unapambana na hali yako, Mfano mim juz tu nlikuwa nahamisha laki5 kuja tigo pesa nikakosea ikaja kama muda wa maongez imekula kwangu mpaka Leo aisee[emoji24][emoji24]
Kwahiyo mkuu saivi ni fulu kuongea, sms za kutosha, mtandaoni ndo usipime sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila bado hii mitandao kunatatzo, mfano unapo hamisha pesa kutoka benki kuja kwenye mpesa au t pesa af ukakosea ikaja kama muda wa maongez hamna msaada wowote wanaweza kukupa. Isipokuwa unapambana na hali yako, Mfano mim juz tu nlikuwa nahamisha laki5 kuja tigo pesa nikakosea ikaja kama muda wa maongez imekula kwangu mpaka Leo aisee[emoji24][emoji24]
Wanataka wakupe kazi tigo, maana kwa matusi uliyowatukana wakikupata polisi pananukia [emoji2][emoji2]Ya tigo salio linakatwa kama kawa,,, Jana wamekula 2000 yangu nzima, Kutoa machungu ikanibidi niruke nao hewani na kuwatukana sana mpaka hasira zikaisha, kuamka asubuhi ya leo nakuta wamenitext niwape imei ya kifaa changu na location nilipo
Sijui wanataka za nini wangese hawa...
Yaan ndugu zangu karbu wote kule tarime wanaotumia tigo nimewaunga vifurushi vya mwezi kila mmoja yaan ni ungese na cna namna na Dem wangu sasa anakula bando kila akikohoa cna jinsiKwahiyo mkuu saivi ni fulu kuongea, sms za kutosha, mtandaoni ndo usipime sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pole sana
Wew umeishatumia hiyo huduma au unaandka tu, ingia kwenye menyu yako ya sim banking Kisha tafuta topup utaelewa tu mim nmeandka nn
Kuhamisha fedha toka benki mpaka salio, inawezekana vipi?
Halafu wakisha lifyeka ndo msg inakuja...washenzi sana hawa jamaa.Ndio. Ghafla bin vuu Vodacom Tanzania wameanza kuonea huruma salio la kwenye simu. Zamani walikuwa wanalifyekelea mbali kabla ya kukuarifu kwamba bando limeisha; huku wakikuacha bila salio la kununulia bando lingine.