Vodacom, huu wema umeanza lini?

Mlenge

R I P
Joined
Oct 31, 2006
Posts
2,125
Reaction score
2,306
Vodacom, huu wema umeanza lini?

Leo nimeona push menu za USSD, zikiniuliza na hatimaye kuniwezesha kujitoa kwenye matumizi ya salio kulipia huduma za mtandao wa intaneti kutoka kwenye salio la kawaida. Kwa hiyo kuanzia leo, hata bando la GB likikata, salio la kawaida lililopo halitaguswa. Mulikwina? Jambo hili lilitakiwa mlitekeleze miaka mingi iliyopita.

 
Tigo walisha tufanyia kazo hii kitambo.. we unashangaa leo
 
Matterpel sana voda, mi wamekata salio langu kuwapigia wnadai nimetuma sms nje ya nchi. Nimeiweka line yao pembeni kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…