BabaKasheshe
JF-Expert Member
- Nov 7, 2012
- 211
- 45
Salama wana JF , naomba kuwasilisha. Weekend hii katika mapumziko nilionelewa ni download some series. So nilinunua Vodacom bundle ya sh 12,500 ambayo ni package ya Internet bila kikomo kwa wiki nzima, nilidownload episodes 3 (kila moja ina wastani wa MB700) na speed ilikua nzuri sana ndani ya saa moja zote zilikua tayari. Nlipoanza download ya nne sasa ndo iawa shida, yaani ilikua slow sijapata kuona, hio moja ilitumia masaa saba kukamilika hadi ile hamu ya kuangalia ikaisha. Baada ya hapo nikasema basi acha niweke bundle mara nyingine na hakukua na mabadiliko. Nikasubiri ifike saa nne usiku nikaweka ile bundle ya usiku 'wajanja night' nayo haikusaidia chochote, hadi mwisho nikawa nimetumia karibu elf 35 na sikupata nilichohitaji....Swali langu najiuliza je hivi ofa na bundles kama zinavyotangazwa ni za kweli?au ni lugha ya biashara?so disappointing